Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia

Shida ya kuchepuka hakujawahi kuwa na faida.
Ipo au niseme zipo kwani sio moja.Ukiifanya kw umakini bila kustukiwa inaelusha vurugu zamara kwa Mara ndani ya nyumba. Mambo mengi ukiyakosa kwa mwenzi wako utapotezea cz unajua Kuna somewhere utayapata hivyo gubu litapungua.
 
Ipo au niseme zipo kwani sio moja.Ukiifanya kw umakini bila kustukiwa inaelusha vurugu zamara kwa Mara ndani ya nyumba. Mambo mengi ukiyakosa kwa mwenzi wako utapotezea cz unajua Kuna somewhere utayapata hivyo gubu litapungua.
Na mwisho wake huwa ni nini?
 
Wanawake wazuri hawawazi kuchepuka regardless, Mwanamke anayecheat ni malaya tu aliyekuwa anasubiri apate sababu ya kucheat, she's a broken bitch. Fvck them, however dont associate with them.
 
Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.

Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.

Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
Leo ulikolaliaa!!
Umeongea point nzuri!
 
Muhimu ni furaha ya nafsi.

Kama unaipata bila kuchepuka well and good.

Iwapo huipati na unazani ukichepuka utaipata kwa usalama bila uharibifu basi inashauriwa uitafute furaha yako ilipo uipate.

Usikubali kuishi Kwa sononi sababu ya starehe ya mwenzi wako.

Yani yeye achepuke wewe ubaki kuumia moyoni na huzuni?! Kataa!

Itafute furaha yako ilipo uipate.

Kumbuka kucheza kwa step iwapo umeolewa!

Usijeruka majivu ukakanyaga moto!

Tuliza akili yako usijichanganye haraka.

Tumia akili!
 
Back
Top Bottom