Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea?
Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa.
Ninyi GEN Z, mnajua ni kwanini hasa Tundu lissu Yuko gerezani?
Tundu Lissu amekosea wapi Hadi asahaulike gerezani?
Nawasilisha!