Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

Ile meli ilyokuwa imebeba gari langu toka Nagoya ,Japan iliitwa Monrovian Queen, ilitia nanga Mombasa
Mimi binafsi hadi leo sijawahi jua sababu za hiyo meli kuitwa hivyo.

Meli hupewa majina ya kike eg MV Francesca, MV Azizzer, MV Juliana, MV Mariana etc
Aidha, hata katika lugha ya kiingereza huwa prefixed as "she".
Naomba kujulishwa sababu ?
Zawadi ya Mwaka Mpya itatolewa kwa atakayejibu kwa ufasaha.
 
Na kwanini daladala nyingi za mbagara mwenge na zile za gongo lamboto sinza na gongo la mboto masaki zina misemo sana
 
Kama ni uongo lete ukweli wako

MV Ukerewe, MV Bukoba, MV Nansio, MV Clarias, MV Nyamagana, MV Butiama -- sijui kama ni majina ya kike au hizi zikipata ajali ni predictable?
 
Zikiwa zinapakia mizigo pale zipoanzia basi hua ndo mambo flani yanafanyika.

Zikishajaa mizigo na/au abiria ndo mimba yenyewe ishatunga hiyo,

Na zikipakua/shusha mizigo na/au abiria ndio zinajifungua/zaa hapo.

Zinapandwa mara kwa mara na abiria au mizigo.

Pia muda wote zinaongozwa na nahodha, na haziwezi kujisimamia na kujiongoza zenyewe!!

Kwa sifa kuu hizi, sina shaka basi sio ajabu sana zikiwa kwenye kundi la "she"
 
Kaswali kagumu mkuu lakini kuna kitu niliwahi ku - study baada ya kusoma kitabu kinaitwa Treasure Island. Kwanza si meli zote zinakuwa addressed as 'she'. In most cases ni Naval Ships.

Na sababu ni kwamba, Sailors wengi hutumia muda mwingi wakiwa melini kama ambavyo wangetumia na wake zao nyumbani. In short ni mambo ya kitamaduni tu ya Wahispania na Waingereza wa kale

Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu, ''Kisiwa Chenye Hazina''. Meli - ''The Hispaniola'' - Characters: Jani Fedha (John Silver), Jim Hawkins, Captain Flint, Mbwa Mweusi, Abraham Gray (Fundi seremala), Richard Joyce, Yohana Mwindaji (John Hunter) etc. Hispaniola, siyo jina la kike!
 
Meli hupewa majina ya kike eg MV Francesca, MV Azizzer, MV Juliana, MV Mariana etc
Aidha, hata katika lugha ya kiingereza huwa prefixed as "she".
Naomba kujulishwa sababu ?
Zawadi ya Mwaka Mpya itatolewa kwa atakayejibu kwa ufasaha.

......Pia niongezee kuwa kuna vitu vingi vingine vinapewa sifa za kike-kike...... kama vile beautiful house, car, garden, pet, etc ila sina uhakika kama kuna beautiful train, truck, etc!
 
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu, ''Kisiwa Chenye Hazina''. Meli - ''The Hispaniola'' - Characters: Jani Fedha (John Silver), Jim Hawkins, Captain Flint, Mbwa Mweusi, Abraham Gray (Fundi seremala), Richard Joyce, Yohana Mwindaji (John Hunter) etc. Hispaniola, siyo jina la kike!

bila kumsahau haramia Israel Hands na yule Ben Gunn aliyetelekezwa kisiwani na Captain Flint
 
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu, ''Kisiwa Chenye Hazina''. Meli - ''The Hispaniola'' - Characters: Jani Fedha (John Silver), Jim Hawkins, Captain Flint, Mbwa Mweusi, Abraham Gray (Fundi seremala), Richard Joyce, Yohana Mwindaji (John Hunter) etc. Hispaniola, siyo jina la kike!

Israel Hands, Benjamin, Dr. Livesey, Ben Gunn, Long John Silver, Jim Hawkins, Trelawney.

Nilijaribu kudownload movie yake kwenye piracy bay nikapata nusu. That kitabu was very gud mkuu
 
JF KIBOKO,inaburidisha sana!me nadhani shape ya meli ni kama ya v a g i n a
 
Mkuu Goodrich, Jibu lake nihili hapa.
Sababu kubwa kwa asili Wafanyakazi wa Meli (Mabaharia) walikuwa ni Wanaume tu.
Ingawa siku hizi kuna Wanawake lakini ´´ She´ haiwezi badilihwa tena.
 
Hapa kuna theories mbili ya kwanza ni kuwa boat zinapewa majina ya miungu wa kike and other mythical figures, and later shifted to popular feminine names as recognition of gods and goddesses faded. Theory ya pili focuses on the basis of European languages. Lugha kama german na french , have a complex system of gender involving grammatical terms in which objects are assigned specific masculine or feminine tones

English ya zamani pia used this system of naming, with many inanimate objects such as boats referred to in the feminine form. Na jinsi lugha ilivyokuwa inabadilika and evolved, the tradition of using this feminine form for ship names iliendelea
Vizazi na vizazi mpaka leo hii
Haya nipe zawadi yangu fasta fasta
 
Back
Top Bottom