Kaswali kagumu mkuu lakini kuna kitu niliwahi ku - study baada ya kusoma kitabu kinaitwa Treasure Island. Kwanza si meli zote zinakuwa addressed as 'she'. In most cases ni Naval Ships.
Na sababu ni kwamba, Sailors wengi hutumia muda mwingi wakiwa melini kama ambavyo wangetumia na wake zao nyumbani. In short ni mambo ya kitamaduni tu ya Wahispania na Waingereza wa kale
Ni kweli,
Pia kwa utamaduni wa kale ilikuwa ni jambo la umuhimu wa kipekee kutafuta jina la meli, na ilifanyika kwa namna za kimila.
Aidha, waliamini meli isipopewa jina la kike huwa sio salama kusafiri.
Nimefuatilia nikaona kuna ukweli fulani maana meli nyingi zilizopata ajali kubwa hazikuwa na majina ya kike.
Ship naming and launching | Maritime-Connector.com
Worst 10 Cruise Ship Accidents | Marine Insight
Launch of M/V Tuna - YouTube
Jina la kike na usalama au ajali kwa meli vina husiana vp?, Mimi nadhani ajali kwa meli zisizo kuwa na majina ya kike ilikuwa coinsidence tu na majina ya kike, mimi nadhani ni kwa sababu yanasound vizuri, lovely, ndio maana wanayapendelea.
toa zawadi acha porojoHujaona watoto wanapozaliwa ukiwapa majina mabaya inakuwaje ?Aidha, hiyo ni kwa mujibu wa historia.Lakini, kukujulisha tu, kiimani majina yana influence kubwa sana katika existence ya kitu !
Marie Delmas, Owned by CMA CGM container lines. But majina ya kike yana sound vizuri na kuipa meli mvuto...
Maana majina ya kiume kina Mchambafyaka ndo uipe meli jina hilo si itazama na kupotea..
Umesahau Mv bukoba? Ile ilipaswa itwe kokukaterero
huuu ni uongoZinapewa jina la kike kwa sababu zina tabia kama ya mwanamke ikitokea dharura. Wanawake mara zote ni Unpredictable and difficult to handle na meli vilevile ni unpredictable and difficult to handle ikitokea dharura. Ni vigumu kumzuia mwanamke akicharuka ndani ya nyumba na ni vigumu kuizuia meli au kipunga
huuu ni uongo
Kaswali kagumu mkuu lakini kuna kitu niliwahi ku - study baada ya kusoma kitabu kinaitwa Treasure Island. Kwanza si meli zote zinakuwa addressed as 'she'. In most cases ni Naval Ships.Na sababu ni kwamba, Sailors wengi hutumia muda mwingi wakiwa melini kama ambavyo wangetumia na wake zao nyumbani. In short ni mambo ya kitamaduni tu ya Wahispania na Waingereza wa kaleKama ni uongo lete ukweli wako
mwongo mwenzakokaswali kagumu mkuu lakini kuna kitu niliwahi ku - study baada ya kusoma kitabu kinaitwa treasure island. Kwanza si meli zote zinakuwa addressed as 'she'. In most cases ni naval ships.na sababu ni kwamba, sailors wengi hutumia muda mwingi wakiwa melini kama ambavyo wangetumia na wake zao nyumbani. In short ni mambo ya kitamaduni tu ya wahispania na waingereza wa kale