Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Asilimia 99 wavaa kanzu na baghlashia, CDM watawapendea wapi. Wavunje agano la waraka wa katoliki!
 
Kwa sababu Wachaga(Wakristo) kule wachache kama sio hawapo kabisa
 
Zanzibar ni nchi jiran na rafik zetu wa ukwel mpaka tunalala nyumba moja ya tanzania.
 
wazanzibari hawapendi kuambiwa ukweli,wanajifanya wanataka kujitenga,lissu anawapa mbinu za kujitenga mnamshambulia eti hawapendi

Siku zote Mkia huwa unaringa...inajisikia upo independent sana, kwasababu unaweza kuchezacheza wenyewe na kufukuza nzi kwenye mwili wa ngombe.

Ushanisoma?!
 
Sera ya CHADEMA ni kama ya wamarekani; utakuwa rafiki yao pale tu ambapo maslahi yao yanapopatikana na si kinyume chake.

Kwa hiyo usishangae kusikia CHADEMA inalalamika wanafunzi wa kimasikini hawapewi pesa za kutosha kugharimia elimu ya juu lakini wakat huo huo wanalamikia kwanini Wazanzibari wanapewa!!
 
kama wewe ungekuwa kiongozi hata wa familia yenye akili basi ningejiuwa ili nisikuone wala nisikusikie.na hufai hata kuitwa mtu.kwa sababu mtu ni mwenye fikra na mawazo ya kujua nini cha kukisema na nini nisiseme.kudhalilisha jamii kwa sababu tu mimi naongea na lugha nyengine ya kisukuma au kikuria au nyengineo na wale ni waswahili tu nadhani umepotoka na utaendelea kupotoka.Na sijui kama umetahiriwa wewe au bado?
 
Serukamba! CCM ndo hawaipendi Zanzibar, Wazanzibar wakiachiwa wajiamulie mambo yao wenyewe wataweza kuendelea kwa kasi sana. zanzibar bado hawajaingiwa na ufisadi huu unaoiangamiza nchi, zanzibar kupitia sekta ya utalii peke yake inauwezo wa kujiendesha na kujiletea maendeleo ya haraka kama nchi... Muungano wa shirikisho ni muhimu kwa mustakbali wa nchi zetu ... CCM wanaimeza zanzibar ....
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

kwani wazanzibarwanaipenda tanganyika au sie ndo tunajikomba kwao? chadema sijaona mahali wakisema hawaipendi zanzibar ila wao wanahoji mambo ya msingi ambayo kwako unaweza tafsri kama kutoipenda zanzibar.
 
Sera ya CHADEMA ni kama ya wamarekani; utakuwa rafiki yao pale tu ambapo maslahi yao yanapopatikana na si kinyume chake.

Kwa hiyo usishangae kusikia CHADEMA inalalamika wanafunzi wa kimasikini hawapewi pesa za kutosha kugharimia elimu ya juu lakini wakat huo huo wanalamikia kwanini Wazanzibari wanapewa!!

kwahiyo unapenda kuona Zanzibar ikipewa wakati Watanganyika hawapati?
Udugu gani huo?
Unakili ubaguzi?
Watanganyika hawana haki?
Kosa la Cdm ni kutetea usawa?
Hakika mmezoeshwa vibaya.

TANGANYIKA HURU
 
Zanzibar ni nchi jiran na rafik zetu wa ukwel mpaka tunalala nyumba moja ya tanzania.

cha ajabu ni kwamba sisi haturuhusiwa kushiriki kwao.
Watanganyika tukinunua ardhi kwao tunakuwa kama tumenunua nchi jirani.
Lakini wao kununua Tanganyika ruksa.

ASIYE ZIBA UFA ATAJENGA UKUTA.

TANGANYIKA HURU
 
mm nnataka katiba mpya itangaze kwa uwazi kua rais wa Jamhuri lazima ashinde kwa zaidi ya asilimia 30 kutoka zanzibar na Tanganyika, kwa lugha nyengine ikiwa hujapata upande mmoja asilimia 30 huna sifa ya kua rais wa Jamhuri

hii italazimisha vyama vyote kuupenda muungano na kuona umuhimu wa pande zote ikiwa wanataka kushika dola la Jamhuri
 
kwahiyo unapenda kuona Zanzibar ikipewa wakati Watanganyika hawapati?
Udugu gani huo?
Unakili ubaguzi?
Watanganyika hawana haki?
Kosa la Cdm ni kutetea usawa?
Hakika mmezoeshwa vibaya.

TANGANYIKA HURU

Watanganyika mbona wameanza kupata muda mrefu tu. Halafu hako ka population ka wanachuo wote wa Zanzibar

hawafiki hata idadi ya wanafunzi wa IFM! ndio hapo sasa ushangae huo ujirani!
 
Hivi mushafika z'br na kuiona hali iliopo au munaropokwa 2. Kiukweli wazanzibar wamechoka na mazila ya muungano. Ndo maana wakisema ukweli wanaonekana ni wahaini.
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?
mashaitwani wa kijani wamekutuma uandike huu upuuzi!
 
Wazanzibar wanaitawala tanganyika kisiri, chadema wanawasaidia wazanzibar waache kupenda unyonyaji!
 
Nawasihi sana CDM, sasa waanze kwenda ZANZIBAR. Mfano CDM iliweka mikutano Mwanza, Mbeya Na Iringa ambayo nimeisikiliza {niliweka extreme kwenye cm, nikampigia mtu aliyekuwa mkutanoni na kuisikiliza mikutano yote live}.. Viongozi hao wameongea mambo ya mbolea sana sana. CDM ikiongea Mtu unaelewa kitu inayoongelewa, nsikilizie CCM waongee utashangaa sana, Mtu unakuwa busy kusaka lau kitu kimoja tu uipendee CCM unakosa. Sisi tusio Na vyama Mara nyingi hatupendi kuwa biasis but tell me my Friend CCM utaisapot uanzie wapi?

Sasa hivi wamekuja Na Gia ya Kupambana Na CDM Kwa Matusi, tena wanajitapa "Ohoo ukiwaachia CDM wanajidai sana" so CCM mmewaachia Cdm? Kwenye Nini ? So what!!?,.... solution mliyoiona ndio kuwamiminia matusi ya Nguoni?!?! Shit!! Hawa Ccm naamini anaewashauri ni shetani.

Back there, CDM Watumbue Jipu la Muungano, waelezee sintofaham zote zilizojificha Kuhusu yunion hiyo inayolalamikiwa, CDM waelezee A-Z Ya Serikali Tatu, faida Na hasara zake Wazanzibar waelewe hili..

Chonde chonde CDM Hapana kuongelea UDINI, Kwa Uzuri Wala ubaya.. Said Issa Mohamed, Jembe la Ukweli ambaye ni Makam Mwenyekiti CDM Zanzibar alishafafanua Kwa usahihi Na Unyoofu propaganda hii ya Udini Na kuimaliza sidhani Kama kuna haja ya kuinadi popote, Waachiwe CCM wenyewe wahangaike nayo iwatafune.. CCM inakufa vibaya!! TANU died silently lakini CCM inakufa vibaya dear...!!

Wazanzibar ni binaadam kama wewe Na mimi, unajua binaadam yeyote akiambiwa ukweli lazima auelewe Kwa Sababu ukweli ndio asili ya mwanadam Hata kama ni mwovu., CDM wakiongelea ukweli Wa Masuala ya Zanzibar pasipo kuwahadaa kama CCM wanavyofanya, Wala kuleta propaganda zenye Sumu lazima wananchi wote waikubali..

Mie nikwambieni propaganda Za Matusi, ugaidi, udini.. Nasema Hata Kama zingekuwa Za kweli still mwananchi hawezi kuziafiki Wala kuzisikiliza, mwananchi huyu mnyonge, kapigika, yuko chokambaya, Bado Na umaskini wake anadhulumiwa, Watoto wake wako home Kwa kukosa Ada, matibabu hapati Hata akipata amezungushwa mbaya, Hana pa kushtaki akidhulumiwa, kila ataposhtaki atageukwa Vibaya Na kujuta, Haki haipo popote, polisi Na raia ni paka Na panya, Mtu akiibiwa kitu, akipigwa, akigongwa Na gari, bora wamalizane wao Kwa wao ila mkithubutu kumpelekea Kesi yenu mlinda Amani mmekwisha, utasumbuliwa Na polisi zikutoke fedha ilihali wewe Ndo mshtaki[tena nowadays polisi Hata ile chembe ya waoga, haya , Aibu imepungua sana, SIO polisi wote ila wengi wao hawana Cha kuogopa, Mtu anakutupia namba haloo NITUMIE Kwenye hii Tigopesa au mpesa Wala haogopi, au akikunasa njiani akiingia Ndani ya GARI lako Na kuona chenji umeziweka mahali Ndani ya GARI utasikia "Nipe hizi hizi zinantosha" anaziokota mwenyewe zote huyo anashuka jamani??!!?]... Nchi hii? Halafu kitokee Chama Chenye majibu haya kisha Misukule flan waseme hao ni magaidi, Mara wadini ok wawe magaidi au wadini whatever tunawataka Kama watakubali kujaribu kutuondoa huku. Wakishindwa tutawatupa NJE Na kuchagua wengine kulikoni kuwarudisha nyie mlio prove kishindwa..
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Kumpenda mtu au kumuamini Nyerere isiwe hoja atapingwa kwa kile kitakacho onekana wrong,hizi si zama za zidumu fikra sahihi za M/Kiti wa chama.Lakini pia kule Zanzibar kuna ngome ya CDM inayoongozwa na makamu mwenyekiti sasa hii chuki iko wapi?Tatizo kwa watu wa magamba linapokuja suala la kudai haki unapandikiziwa chuki
 
Iende kwa meli, ndege au basi.

Kwani haipo huko?
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Lazima utakuwa unaumwa kichwani mwako hebu mtafute mtu toka aliko Kigwangala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom