Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

HECHE alisema, tatizo vijana wa CCM wamelelewa kipropaganda, kwa hiyo sioni ajabu kwa uzi kama huu. Ukitoka hapa nenda ukachukue 50 kwa Mwigulu
 
Sasa upendo gani ambao anauzungumzia mtoa mada, wazanzibar wabenbwe na mbaleko ama iwaje?
 
Wazanzibar ni watu ambao hawaelewekagi ni nini exactly wanachokitaka,utawasikia kila siku wakidai bara iwaache wapumue na sera ya CDM ni kweli kuhakikisha wazanzibar wanaachwa wapumue kama wavyodai then wajiamulie mambo yao wenyewe ila cha kushangaza mtu yeyote toka bara atakaye waunga mkono na hayo madai yao ghafla wazanzibar hugeuka na kuja juu kwamba ana chuki na wazanzibar..wito wangu kwa wazanzibar wote kaeni chini na mjitambue ni nini exactly mnachokitaka then mje na msimamo mmoja kama nchi (kama mnavojipambanua kwenye katiba yenu) na sio kua na hizi sitaki nataka za kila siku

Hebu nkuulize, kutaka mafuta yawe ya muungano wakati wazanzibari hawataki ni kuwasaidia wazanzibar?
 
Chadema hawawezi kuipenda znz Sababu kubwa kule Hakuna mabepari jimbo la uzini Ndio kina mabepari Kidogo lakini nawana nguvu
 
Zenji asilimia 98 waislam,sasa CDM ni chama cha wakristo,mikoa ya wakrsto inanguvu,MBEYA ARUSHA MANYARA IRINGA KILIMANJARO.hamna chama kitachochukua dola kwakutegemea dini moja.
 
Huyu jamaa ni mnafiki mimi ninatoka pemba pale jadida anapotoka makamo mwenyekit wa chadema znz halafu unasema chadema hawaipendi znz? Tunawaomba chadema wazidishe nguvu bungeni kuitetea znz, nimeshuhudia mara nyingi wanavoitetea znz wakiwa bungeni kuliko wabunge wetu wa cuf.
 
Wanzanzibar wakiambiwa ukwel wanachukia ila hakuna mchango wowote tunaofaidika nao kutoka zanzibar, Nchi yenyewe hata mkoa wa dar es salaam mkubwa halafu wanakuja wengi kujaza bunge uwakilishi wanataka sawa wakati Tanganyika kuna watu zaidi ya 40m...
 
Zenji asilimia 98 waislam,sasa CDM ni chama cha wakristo,mikoa ya wakrsto inanguvu,MBEYA ARUSHA MANYARA IRINGA KILIMANJARO.hamna chama kitachochukua dola kwakutegemea dini moja.
 
Kwa sababu wazanzibar wanaitawala tanganyika kijanja, kajimbo ka zanzibar wapiga kura 2000, wakati bara wapiga kura 20000, wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi bara, watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar, wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge bara, lakini wabara hawaruhusiwe kugombea ubunge visiwani, wao wana serikali, ya sisi na wao wamo! Wazanzibar wanapenda ile kauli ya Changu changu, chako changu. Kiufupi wazanzibar wanaitawala tanganyika, ni wakoloni weusi!
 
Haha mkuu unataka achangie au atoe thread ya kukupendeza ndo umuone wa maana?? Jibu hoja usimshambulie mtu

Ukifuatilia kwa umakini utagundua tu, hawa watu waliojiunga JF mwezi april, karibu wote ni vibarua wa Mwigulu, so hakuna hoja ya kujibu hapo. Kwani kuambiwa ukweli ni kuchukiwa? Lini umesikia CHADEMA WANAICHUKIA ZANZIBAR? Na Tundu Lissu kuwaambia kuwa katiba ya Zanzibar inavunja Muungano ni kosa? Acheni kupandikiza chuki ambazo hazina maana na wala hazina msaada wowote kwa maendeleo ya Taifa letu. Sisi sote ni ndugu, adui yetu na wa maendeleo yetu ni ccm, bila kujali itikadi zetu za chama, sote tunaathiriwa na ugumu wa maisha ulioletwa na ccm, SO kuiandama chadema wala hakubadilishi hali halisi ya maisha, hata NYIE WACHUMIA TUMBO, HAKUNA FUTURE KATIKA VIZAZI VYENU....NJIA PEKEE YA KUJIKOMBOA NI KUHAKIKISHA KUWA CCM INAONDOKA MADARAKANI NA KUKABIDHI NCHI KWA CHAMA KINGINE, CCM IMESHINDWA NA KAMWE HATOWEZA, IMEPOTEZA MWELEKEO KAMA ALIVYOSEMA KOLIMBA!!!!!!!!!!!!
 
hahaha you make my day mkuu!!! kwa hyo kujiunga jf april ni dhambi?? deadline ya kujiunga ilikuwa lini?? ili kukuza demokrasia lazima ujifunze kuvumilia mawazo tofauti na yako
 
Siku muungano ukivunjika nitatembea kwa miguu kuanzia posta hadi mizani kibaha pwani ukweli siipendi Zanzibar!! Natamani hata Leo nisikie Tanganyika huru!!
 
Siku muungano ukivunjika nitatembea kwa miguu kuanzia posta hadi mizani kibaha pwani ukweli siipendi Zanzibar!! Natamani hata Leo nisikie Tanganyika huru!!

Anza kwa Kusaga Chupa ...utakuwa ukizitafuna huku ukielekea KIBAHA
 
Kile ki mkoa cha Zanzibar kimejaa waswahili tu hawana hoja kazi ubishi ubishi.

Kweli kabisa...Halafu waswahili wengi ni waislamu....Hii inazidisha chuki zetu..

Bora wangekuwa wachaga ,Kidogo tungewapenda kwa mbaaaaali
 
Huyu jamaa ni mnafiki mimi ninatoka pemba pale jadida anapotoka makamo mwenyekit wa chadema znz halafu unasema chadema hawaipendi znz? Tunawaomba chadema wazidishe nguvu bungeni kuitetea znz, nimeshuhudia mara nyingi wanavoitetea znz wakiwa bungeni kuliko wabunge wetu wa cuf.

Mbona tupo wengi wana CDM pemba Na Unguja!waongeze nguvu visiwani tu!Mkuu karibu Limbani bhana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Una lako jambo na hii thread yako na si bure, ila dhana yako ishindwe na ilegee japo najua njaa ndo inayokufanya hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom