Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Zenji asilimia 98 waislam,sasa CDM ni chama cha wakristo,mikoa ya wakrsto inanguvu,MBEYA ARUSHA MANYARA IRINGA KILIMANJARO.hamna chama kitachochukua dola kwakutegemea dini moja.

Udini aloanzisha mwenyekiti wenu ushawaenea nanyi pia,
 
Kwa sababu CHADEMA wana allergy na WAISLAMU na WASIO waachaga

We nae acha kihele hele, umesikia wapi chadema inaungwa mkono na wachaga au wakristo pekee!? Mbona hata viongozi wa kuu wa chadema ni waislamu! Nyie ndio wale vihio wa ubaguzi wakati maisha yako yote umelelewa na watu wa dini nyingine.
 
Hebu nkuulize, kutaka mafuta yawe ya muungano wakati wazanzibari hawataki ni kuwasaidia wazanzibar?
CDM inawasapoti wazanzibar waachwe wapumue ili si mafuta tu bali kila raslimali zao ziwe chini yao na waamue wenyewe jinsi ya kuvizitumia kwa manufaa ya zanzibar yao, hoja ya kusema cdm inachuki na wao mimi inanipa matatizo kuwaelewa ni nini hasa wanachokitaka
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Mkuu kumbe upo, long time kitambo mwana huonekani, how is FAIZAFOXY?
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

kwanini unaipenda zanzibar au kwa vile iko karibu na nasjidi?
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Kwa sababu waZanzibar hawawapendi waTanganyika licha ya waTanganyika kuwapenda waZanzibar. Wanajidai kuamini siasa za kujitenga, lakini wanapo pewa mbinu za kujitenga kutoka kwenye muungano wanaona CHADEMA hawawapendi na matokeo yake kutoa kauli za matusi dhidi ya CHADEMA. Na hii ni kwasababu wanajua ulaji upo Dodoma.

Kwa maana nyingine ni kwamba wana siasa za "SITAKI NATAKA" na "CHANGU CHETU CHAKO CHAKO SIO CHETU".
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Umeshakula ban. Rest in peace ms aka lul aka...
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

KWA NINI ZANZIBAR HAWAIPENDI CHADEMA? Ukijua hili umejua yote!
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Chadema hawaipendi Zanzibar sababu wazenji hupiga kura ya maruhani dhidi ya chama chao!
 
wewe inanekana ni mkabila moshi na arusha na cdm kutoipenda zanzibar vinausiana vip?
 
Mods huyu Malaria Sugu anakula ban hadi namuonea huruma sasa! Duh!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, si kuwa hawaipendi CHADEMA tu, bali pia hawawapendi wanaowaita WaTanganyika. Hawa watu ni wanafiki na wabaguzi wakubwa!
Kazi kudekadeka kama watoto wa miaka chini ya mitano. Aggghhh!!

zanzibar wanapigania maslahi ya dini , sasa waipende chadema kwani ni chama cha kidini?mbona huulizi kwa nini wanapenda uamsho na cuf?
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

  • suala la wajumbe liko wazi maana TZ ina watu 40 mil na znz 1mil, sasa hapo kuna usawa?
  • suala la jimbo liko wazi jimbo la znz lenye watu wengi ni elfu 5, jimbo la tanganyika mfano la mnyika lina zaidi ya 1mil, elfu tano na milioni wote wapewe milioni 10 za jimbo kisa wote ni wabunge?
  • suala la ardhi liko vibaya sana maana waznz wenyewe wamesema hawataki mtu asiye mznz kumiliki ardhi znz, sasa kwanini Tanganyika tukubali?
  • suala la elimu ya juu ni kwamba suala la elimu sio la muungano, na elimu ni wizara moja wenyewe wana mapato yao sasa kwa nini utumie za tz kuwasomesha wengine, mbona waarabu wamefungua chuo znz wanasaidia waznz tu?
  • Suala la mafuta, ni kwamba waznz hawataki suala hilo liwe la muungano na wamesusia mpaka vikao vya baraza kwa sababu hiyo , sasa hapo unawauliza chadema tena?

NAFIKIRI INGEKUWA BUSARA KAMA UNGEWAULIZA WAZNZ KWA NINI HAWAWAPENDI WENZAO WA BARA NA KWANINI HAWATAKI ELIMU NA MAFUTA NA ARDHI VIWE VYA MUUNGANO.
wenyewe ndio wanajibu sahihi zaidi maana ndio walianza vikwazo.
 
Yani nimecheka sana watu na akili zenu mnakaa kumuelewesha Malaria Sugu ? Laa haulaaa, by the way hivi Moderator huyu mtu kwanini asipate life ban; tumemchoka na udini wake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom