Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Status
Not open for further replies.
cdm wanaipenda zanz km sehem ya taifa hili. usichokifaham ni kuwa cdm wanademand eque distribution ya raslimali ya taifa kwa minajili ya idadi ya watu.. hilo la kuwa mbali na moshi ni km siasa za maji taka mawazoni mwako

:yo:
 
kila ikija hoja ya muungano. Chadema na wabunge wa chadema utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)kutaka wajumbe wa zanzibar katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa jimbo?
3)ardhi
4)pesa za elimu ya juu
5)mafuta yawe ya muungano

haya yote mwalimu nyerere ambao chadema wanamuamini kuliko mtu yoyote yule hakuwahi kuyazungumza na akijitahidi kujizuia kuyazungumza

swali: Kwanini chadema hawaipendi zanzibar. Au kwa sababu ipo mbali na arusha na moshi?
uamsho je?
 
Unajua humu watu wamemeza maji ya chadema, huna utakalowaambia wasilitetee hata kama baya. Sasa hizi hoja za CDM hazihitaji majibu ya serikali, bali wao wenyewe tu wanaweza kujipatia majibu. Mbona katika masuala ya ufisadi ni wazuri chadema kufatilia, au kwa sababu kuna madonge kule wanapata kutia matumboni?

Hill suala la wajumbe, halitizami Quantity, muungano huu haujatizama quantity, wajumbe kutoka Zanzibar lazima wawe sawa na wale kutoka Bara, ili ikitokezea suala la kupiga kura iwe Fair, wale wajumbe wamekuja kuwakilisha wananchi au taifa? Kama wananchi waende bungeni basi!
Hili la mfuko wa jimbo mie huwa linanishangaza, sasa Jimbo lolote la Zanzibar LAZIMA LITAPATA RUZUKU KUTOKA KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA YA JMT, sasa nyie CDM, baada ya jimbo la bara lolote kupata ruzuku ya JMT mlitegemea ruzuku ya pili itoke serikali gani? Ivi mnaa akili lakini au ushabiki tu kama wa simba na yanga ndo mlokua nao? Ardhi, ile ardhi iliokuwepo Zanzibar itafika kipindi itakuwa adimu hasa, ndio maana asiekuwa mzanzinari haruhusiwi kumiliki ardhi, kwa sababu ya uhaba wa ardhi, leo hii nna uhakika kuna wabara mamilioni wanataka waende wakaishi Zanzibar sasa ikiwa shughuli ndio hyo wapewe ardhi, mwisho Zanzibar itajaa wa bara mana ndio wengi wenye hela na hasa za ufisadi.....
Pesa za elimu ya juu, labda hapa ifafanuliwe kidogo nijue izo pesa zinahusu nini, kama mkopo basi sijaona hoja mana pesa inatoka kwa JMT na sio serikali ya tamganyika, kwaiyo ile hela ni ya kila mtanzania.

Matuta yawe ya muungano?? Lolz! Ivi madini yalikuwa yawe ya muungano? Kisha ndugu zanguni, sio baada ya zanzibar kujijua kuwa kuna mafuta ndo wakataka kujitenga, mafuta zanzibar yaligundulikana tangu enzi za mwarabu, na Alama ikawekwa, na ukenda mida ya mchana katika hilo eneo, unajua kabisa kama hapa pana mafuta, kwaiyo msidanganyane bureee eti mafuta yaligundulika juzi juzi, ni lazima tuyatoe katika muungano kwa sababu hatutaki kudhulumiwa, mlikuwa na gesi ya songo songo sijawahi kuskia zanzibar ikipata mapato kupitia iyo kitu ama na sisi ilikuwa tunapewa bure kwa serikali kisha wananchi wanalipishwa ili serikali ipate hela.

Nendeni mkatapike maji mlokunywa, ushabiki wenu unawafanya muwe vipofu, kama CDM wanataka kuisaidia Zanzibar ipate uhuru mi naona kama ni wanafiq tu, kwanini wasianze kampeni za wao kudai taifa la tanganyika? Wao wakidai Tanganyika, na zanzibar wakidai yao for sure idadi ya wananchi itakuwa kubwa ambayo inataka nchi 2 zirudishe sovereignty, hamuoni happ kama CDM ndi itakuwa imeisaidia znz na tng? Eti Mnakaa mnasema CDM wanataka kuisaidia Znz, how? Kwa kuchukua ardhi yao ndogo? Kwa kiwanyima hela ya chuo? Kwa kuwachukulia mafuta yao?
CDM kaeni mtafute TANGANYIKA na sio Kujifanya mnaitetea Znz kwa kutaka kuwaibia!
 
Kusemakweli mm binafsi siwapendi wa zanzibari ni wa binafsi sana na wanajiona wao wako juu sana kumbe ni masikini tu!;Kule kwao wanatuona wa bara kama mbwa tu kumbe wao ni choka mbayaa!.Wana miliki majumba na maardi kwetu hapa hata bila sisi kuwanyooshea kidole lakini sisi kule kwao haturuhusiwi!;Sasa kuna maana gani ya sisi kuwa na hawa masikini na wabaguzi?.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Matokeo ya Ubunge kwenye jimbo la Uzini, CCM iliongoza CHADEMA ikafuatia, CUF ndio ikaja
 
Adui wa Wazanzibar ni CCM .................. ndiyo maana viongozi wa ZNZ wanachaguliwa Dodoma ili kuendeleza agenda yao!!!
 
Kwa sababu chadema ni chama cha wakristo na zanzibar ni nchi yenye waislam wengi.
 
Hivi umewauliza Wanzanzibari kama waipenda bara au Muungano??

CCM wanaogopa kuwauliza!!
 
Unajua humu watu wamemeza maji ya chadema, huna utakalowaambia wasilitetee hata kama baya. Sasa hizi hoja za CDM hazihitaji majibu ya serikali, bali wao wenyewe tu wanaweza kujipatia majibu. Mbona katika masuala ya ufisadi ni wazuri chadema kufatilia, au kwa sababu kuna madonge kule wanapata kutia matumboni?

Hill suala la wajumbe, halitizami Quantity, muungano huu haujatizama quantity, wajumbe kutoka Zanzibar lazima wawe sawa na wale kutoka Bara, ili ikitokezea suala la kupiga kura iwe Fair, wale wajumbe wamekuja kuwakilisha wananchi au taifa? Kama wananchi waende bungeni basi!
Hili la mfuko wa jimbo mie huwa linanishangaza, sasa Jimbo lolote la Zanzibar LAZIMA LITAPATA RUZUKU KUTOKA KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA YA JMT, sasa nyie CDM, baada ya jimbo la bara lolote kupata ruzuku ya JMT mlitegemea ruzuku ya pili itoke serikali gani? Ivi mnaa akili lakini au ushabiki tu kama wa simba na yanga ndo mlokua nao? Ardhi, ile ardhi iliokuwepo Zanzibar itafika kipindi itakuwa adimu hasa, ndio maana asiekuwa mzanzinari haruhusiwi kumiliki ardhi, kwa sababu ya uhaba wa ardhi, leo hii nna uhakika kuna wabara mamilioni wanataka waende wakaishi Zanzibar sasa ikiwa shughuli ndio hyo wapewe ardhi, mwisho Zanzibar itajaa wa bara mana ndio wengi wenye hela na hasa za ufisadi.....
Pesa za elimu ya juu, labda hapa ifafanuliwe kidogo nijue izo pesa zinahusu nini, kama mkopo basi sijaona hoja mana pesa inatoka kwa JMT na sio serikali ya tamganyika, kwaiyo ile hela ni ya kila mtanzania.

Matuta yawe ya muungano?? Lolz! Ivi madini yalikuwa yawe ya muungano? Kisha ndugu zanguni, sio baada ya zanzibar kujijua kuwa kuna mafuta ndo wakataka kujitenga, mafuta zanzibar yaligundulikana tangu enzi za mwarabu, na Alama ikawekwa, na ukenda mida ya mchana katika hilo eneo, unajua kabisa kama hapa pana mafuta, kwaiyo msidanganyane bureee eti mafuta yaligundulika juzi juzi, ni lazima tuyatoe katika muungano kwa sababu hatutaki kudhulumiwa, mlikuwa na gesi ya songo songo sijawahi kuskia zanzibar ikipata mapato kupitia iyo kitu ama na sisi ilikuwa tunapewa bure kwa serikali kisha wananchi wanalipishwa ili serikali ipate hela.

Nendeni mkatapike maji mlokunywa, ushabiki wenu unawafanya muwe vipofu, kama CDM wanataka kuisaidia Zanzibar ipate uhuru mi naona kama ni wanafiq tu, kwanini wasianze kampeni za wao kudai taifa la tanganyika? Wao wakidai Tanganyika, na zanzibar wakidai yao for sure idadi ya wananchi itakuwa kubwa ambayo inataka nchi 2 zirudishe sovereignty, hamuoni happ kama CDM ndi itakuwa imeisaidia znz na tng? Eti Mnakaa mnasema CDM wanataka kuisaidia Znz, how? Kwa kuchukua ardhi yao ndogo? Kwa kiwanyima hela ya chuo? Kwa kuwachukulia mafuta yao?
CDM kaeni mtafute TANGANYIKA na sio Kujifanya mnaitetea Znz kwa kutaka kuwaibia!
Wazanzibar ni watu ambao hawaelewekagi ni nini exactly wanachokitaka,utawasikia kila siku wakidai bara iwaache wapumue na sera ya CDM ni kweli kuhakikisha wazanzibar wanaachwa wapumue kama wavyodai then wajiamulie mambo yao wenyewe ila cha kushangaza mtu yeyote toka bara atakaye waunga mkono na hayo madai yao ghafla wazanzibar hugeuka na kuja juu kwamba ana chuki na wazanzibar..wito wangu kwa wazanzibar wote kaeni chini na mjitambue ni nini exactly mnachokitaka then mje na msimamo mmoja kama nchi (kama mnavojipambanua kwenye katiba yenu) na sio kua na hizi sitaki nataka za kila siku
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

wewe unaipenda tanganyika?
 
Muungano ni kichaka cha siasa za kifisadi! FINISH!.....
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

endelea kujitia upofu kila propaganda mnayokuja nayo inashindwa........kwa bahati mbaya sana mnaotaka wawahamini kwa hizo propaganda zenu mkishirikiana na ndoa yenu cuf zimefaili.
 
kwani wa znz wanaipenda chadema?

Mkuu, si kuwa hawaipendi CHADEMA tu, bali pia hawawapendi wanaowaita WaTanganyika. Hawa watu ni wanafiki na wabaguzi wakubwa!
Kazi kudekadeka kama watoto wa miaka chini ya mitano. Aggghhh!!
 
wazanzibari hawapendi kuambiwa ukweli,wanajifanya wanataka kujitenga,lissu anawapa mbinu za kujitenga mnamshambulia eti hawapendi

Kwani tukiachana na mizanzibari tunapungukiwa na nini ? mbona KENYA HAIJAUNGANA NA NCHI NYINGINE INASONGA MBELE, mbona rwanda haijaungana, sisi kuungana kwetu ndio balaa letu maana kila siku tunaimba kero za muungano tunapoteza muda mwingi kuangalia muungano ambapo tungefocus mawazo yetu kwa maendeleo ya nchi yetu. Watoto wetu wanafeli , hatuzungumzii hilo , tupo kwa mambo ya muungano, Kama miaka hamsini bado unavutana na mambo ya muungano unategemea nini . Huu ni muungano wa viongozi wanaofaidi , mimi natafuta kauzu muungano unanisaidia nini
 
Tatizo chadema ni wadini na wanauchukia uislamu ndo maana wanachuki za waziwazi na zanzibar coz asilimia 90 ya zanzibar ni waislam
 
ni chadema wanaosema mambo kadhaa yaliingizwa kwenye Muungano ambayo wazanzibar hawayakuyaridhia kwenye mkataba

mf. suala la gesi na mafuta siku zote chadema wamekuwa upande wa Zanzibar

ni chadema wanaowatetea zanzibar kupata hisa zao zilizopotea baada ya E.Africa community kuvunjika na kutopata mgao

wamekua wakizungumzia 4._% inayopata kutoka BOT kwenda SMZ iangaliwe upya kwa uharaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom