Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?
 
SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR
Kwa Sababu nao hawakipendi Chana hicho.
 
acha uongo,angalia star tv sasa hivi umsikie Heche anavyoongea kuhusu z,bar
 
Karibu JF. Ukishakuwa memba sio lazima kuanzisha thread. Unaweza ukasoma tu na kuchangia kwenye thread za watu na umemba wako usiathirike. Ni ushauri tu lakini wala usikukasirishe!
 
wazanzibari hawapendi kuambiwa ukweli,wanajifanya wanataka kujitenga,lissu anawapa mbinu za kujitenga mnamshambulia eti hawapendi
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?
Zanzibar wanadeka.
 
Kiukweli ninahisi wewe ama una matatizo na Chadema ama uko kwenye list ya vijana wa Nape Jamvini. Zanzibar sisi chadema tunaipenda sana. Zanzibar ndo eneo pekee tulipata kura kidogo lakini kwenye mgawa wa Ruzuku wa Baraza kuu likapata fedha nyingi kuliko kura ilizopata ili tuongeze wananchama huko. Sasa hayo unayoyaongea wewe yametoka wapi?
 
Karibu JF. Ukishakuwa memba sio lazima kuanzisha thread. Unaweza ukasoma tu na kuchangia kwenye thread za watu na umemba wako usiathirike. Ni ushauri tu lakini wala usikukasirishe!

Haha mkuu unataka achangie au atoe thread ya kukupendeza ndo umuone wa maana?? Jibu hoja usimshambulie mtu
 
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano

HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA

SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?

Serukamba you!
 
Kiukweli ninahisi wewe ama una matatizo na Chadema ama uko kwenye list ya vijana wa Nape Jamvini. Zanzibar sisi chadema tunaipenda sana. Zanzibar ndo eneo pekee tulipata kura kidogo lakini kwenye mgawa wa Ruzuku likapata fedha nyingi kuliko kura ilizopata ili tuongeze wananchama huko. Sasa hayo unayoyaongea wewe yametoka wapi?

mkuu umejibu Vizuri sana na ufafanuzi wako nimependa ila umejisahau kutuambia na wewe upo ktk list ipi upande wako ile ya zzk au List ambayo na Ben yupo ?
 
Umeshindwa kuweka hisia zako vyema. Swali ulilotaka kujiuliza siyo hilo bali ni kwa nini wewe unaichukia chadema.
Acha kuzuga watu mkuu
 
we ni mnafki, Swali la kinafki, muungano wa kinafki...na CHADEMA hawapendi unafki ndiyo jibu
 
Haya mambo Wazanzibar waliyataka wenyewe, mara kujitenga, mara hatutaki muungano, sasa wewe unaona cdm haiwapendi kwa lipi?

Walipoona kuwa Zanzibar kuna dalili za kuwa na mafuta na gas, wakatunga sheria ya kuwa hizo raslimali zisiingizwe kwenye muungano.

Sasa na Watanganyika tunasema masuala ya ardhi na raslimali nyingine zote vitolewe kwenye muungano, kila mtu atumie cha kwake pasipo kusumbuliwa na upande wa pili.
Wazanzibar wanaomiliki ardhi huku Tanganyika waiache mikononi mwa Watanganyika.
 
CDM wanachotaka nikwamba zanzibar ijitambue kama nchi sio kufanywa koloni.Kwanin wasipewe uwezo wa kujisimamia kwa aslimia100 then muungano ukaendelea kuwepo kwa makubaliano.Anayewapumbaza wazenj ni Maalim Seif kwa kukubali kufunga ndoa feki huku wachache wakifaidi rasilimali za Taifa.
 
Kile ki mkoa cha Zanzibar kimejaa waswahili tu hawana hoja kazi ubishi ubishi.
 
Hakuna chama kinachoipenda zanzibar kama chadema, tatizo wazanzibar kupenda kuitawala tanganyika kwa kila kitu, wanataka bunge la katiba walijaze wao ingawa idadi yao ni ndogo, wanatamani kuimiliki Ardhi ya tanganyika, wanatamani wagombee ubunge hata kupitia majimbo ya bara, kiufupi wazanzibari ni wakolöni weusi wa tanganyika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom