may be he should be sleeping on the coach.... much better... I donno how did they share the room............Kunyimana unyumba wala sio solution ya tatizo, na inakuwaje unalala na mume/mke wako chumba kimoja, kitanda kimoja kipindi cha miezi 7 au mwezi tu halafu usiwe na hamu na mwenzako kweli. Aisee mimi siwezi kabisa hii kitu.
mie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.
kama adhabu gani ramos...?Biblia inasema "msinyimane.. tena mrudiane mara kwa mara ili ibilisi asije kupata nafasi" Nyamayao sikutabirii mabaya, ila angalia hilo ni dirisha la kumpitisha ibilisi atakayekuaj kuvunja ndoa yenu. Mbona zipo adhabu nyingi nyingine ambazo wake zetu wakitupa tunajuuuuta kuwakosea...
kaka DC kama ni suala la kukatika kwa network, sawa ila hata hapo lazima nimwambie mwenzangu nini kimekata network, ndo maana nasema tuyazungumze kama yanazungumzika then we make up na tuendelee na maisha yetu kama si vinginevyo
aafu we dark city INAKUWAJE?
Mungu atakujalia hilo likupitie mbali,bora kusikia tu watu wengine yasikukute.Me bado ku- experience hiyo problem na siombei kabisa [/FONT][/COLOR]
............Na kujishusha ndio ngao kubwa inayoweza kuimarisha mahusiano/ndoa yenu, hasa mwanaume ukijua kujishusha hiyo ndoa yenu lazima itakuwa paradiso ndogo hapa duniani.katika issue kama hii wanaume walio wengi wanatumia ubabe badala ya kujishusha
Kwa vitendo alivyonifanyia wangu nambania mpaka tunaenda ahera..inaumiza sana
Asante Mzee Mwanakijiji ni hali halisi ya maisha ninayoishi .nakupa pole tu sitaki kujua maana kauli yako imepiga kelele katika masikio ya kila mtu.
Sasa najua kwanini Waafrika tunakufa sana kwa Ukimwi, magonjwa ya Standard Seven, na kwanini mimba nyingine zinakuwa ni unintended. Think about it..
Kaka MMKJ magonjwa ya standard seven ndo kama yepi hayo unijuze mwana wa mwenzio??
funzadume ni dume na nikibaniwa naenda kupiga nje live bila chenga ila kwa siku hizi similiki nyumba ndogo napiga ile ya EAT n' RUN siwekezi sehemu kama nikinogewa nitapiga mara 2 tu then nasepa (thats my principle ha)Funzadume unafanyaga hayo nini kaka yangu (kama wewe ni mwananume lakini)
dini zote zinasema m/ume ni kichwa cha familia sasa unataka tujishushe si ndio nyumba itatawaliwa na mfumo jike lol mambo ya MUME *****............Na kujishusha ndio ngao kubwa inayoweza kuimarisha mahusiano/ndoa yenu, hasa mwanaume ukijua kujishusha hiyo ndoa yenu lazima itakuwa paradiso ndogo hapa duniani.
.........Baadhi ya wanaume hapa naona hawajui kubembeleza, naona tu wanavyosema mwanamke akigoma basi na yeye atagoma na hawafahamu kwamba sisi wanawake tunapenda kubembelezwa, sasa sijui kama ni wanawake wote au ni mimi tu.Hivyo wanaume mjue kubembeleza wake zenu, msijifanye wababe wala haisaidii ndio kwanza ubabe unabomoa.
Swali lako zuri JS.
hapo kwenye nyekundu hapo mh..... kuna wengine analala na jeans, na akiamka anaingia bafuni kuoga akitoka keshavaa kila kitu anarudi chumbani kupaka tu mafuta na kuchana nywele ..unawezakta wiki hujaona hata rangi ya mgongo wake. Chezea yeye wewe.
Unajua sometimes huwa inakera mdogo wangu unadhani ni mara zote watu wanabania? sometimes inabidi maana unakuta mtu kakukosea umemwambia au kumlalamikia but bado hajirekebishi wala kuomba msamaha ukiamua kukasirika habembelezi. so unajenga kigruti ndani ya moyo.................sasa usiku anakuja kweli utakuwa na moyo wa kutoa?? ndio hapo waambiwa umemnyima.
Ila kwa kesi ya Mke wa Waziri mimi nafikiri ni tofauti- maana waziri ameonyesha kuwa mkewe hamfai- yaani hakitaki tena kitumbua chake ndo mana akaenda kwa binti Rehema------ hata ingekuwa mie nadhani ningebana bwana ah.