Ushahidi uko wapi?Kinacho sumbua wanaume wa hivyo ni wivu hakuna zaidi!
Mbona hujatuambia kuwa huyo jamaa kinachomfanya amzuie mkewe kufanya kazi ni wivu?Me kuna jamaa yangu hataki kusikia mkewe akimwambia habari ya kazi, chaajabu mwanamke ana bahati na kazi mara kadhaa amekuwa akijaribu kutuma maombi anaitwa kwenda kuanza kazi kivumbi na jasho ni pale jamaa anapo ambiwa na mkewe hizo habari za kazi...majibu yake ni yale yale ya unakosa nini!!
Huyo sio sample ya kila mwanaume duniani!Kinacho nipa burudani zaidi kwa jaama ni kwamba cm ya mke wake kaiwekea passwd sehemu ya massage halafu mke wake hazijui kwa hiyo jamaa ndo huwa anaifungua anazisoma kwanza anapo hitaji!...Nikadungua huyo anaangaishwa na wivu!
Asipoumwa??
Unazijua hatua na umuhimu wa malezi ya watoto??
Nilipoiona tu commet yako kuna kiungo kilistuka kidogo
Hebu bashiri ni kiungo gani hicho??
Back to tpic
Kwanini kumtegemea mume inakuwa shida??
Kitu gani hicho unakihofia kutokea?
Vipi kama kisipotokea??
Halafu si una elimu??
Ningemuambia MCHAWI MKUBWA wewe, uliniroga niumwe ili niache kazi, ulinichezea picha na kuniteka kiaina.
Ningetafuta kazi na kumtangazia uchawi kwa jamaa zangu.
Mbona wewe unadai kuijua kwa kutaka kazi?
Kuna watu leo wanakula hela iliyotafutwa na Babu zao
Unadhani hao babu za hao wangeweza kuzimaliza hizo pesa hata kama bibi asingefanya kazi?
Wanaofanya kazi hawana mashosti?
Wanaofanya kazi hawapo vijiweni?
Nani kakuambia mtu ukifanya kazi huendi vijiweni??
Kwanini unafikiria hayo?yeye ni binadam..kuna leo na kesho anaweza asiwepo na nitatakiwa kusimama mimi mwenyewe.
Asipougua?.kuna magonjwa pia,kama nilivoumwa mie yeye nae inaweza tokea...
Kipato anachoingiza yeye kinawatosha kwanini unataka kufanya kazi??mbali na hayo,kipato cha wawili si sawa na cha mmoja,na mie nifanyie kazi nilichosomea basi...
Hii inaweza kuwa kweli lakini ili uonekane una maana ni pale utakapokuwa na uwezo wa kuelewa mambo kirahisi kama hili!!af angenielewa akaniruhusu kufanya kazi asee..tuna maana sana kama mwanaume ana maana pia
Hata wa kwako ni mfano pia na hakuna ushahidi kuwa kwasababu wewe uliugua na mimi nitaugua!Huo ni mfano..lakini pia ajiulize alidhani mim nitaumwa na kufikia hali ile..?
Hata kama haihitajiki??Kwahiyo kama kuna uwezekano wa kila mtu kufanya kazi ni bora wakafanya wote mana hatujui ya mbeleni..
Kwanini?????????
Ni ushahidi wa aina gani unao utaka?Ushahidi uko wapi?
Labda kama haujakisoma vizuri nilichokiandikaMbona hujatuambia kuwa huyo jamaa kinachomfanya amzuie mkewe kufanya kazi ni wivu?
We ulitaka mpaka nani aniambie ndo awe sample ya wanaume wote duniani?Halafu nani kakuambia kuwa huyo jamaa yako ni sample ya wanaume wote duniani?
mmmmmmh hii ngumu kumesa aisee,,,,nahisi swali kama hili nitakutana nalo UE ya kesho!!!!!
Ndio maana umejibu kirahisi rahisi vile !!!!!!!!!!!!
Ni ushahidi wa aina gani unao utaka?
we kwa mawazo yako unadhani kila jambo mpaka liwe na ushadi ndio lionekane lipo kukosa ushahidi haimaanishi mambo hayo hayafanyikiLabda kama haujakisoma vizuri nilichokiandika
We ulitaka mpaka nani aniambie ndo awe sample ya wanaume wote duniani?
We una dhani wanaume wote wanakojoa wame simama kuna wengine wanachuchumaa.
Usi ishi kwa kukariri mkuu!