Eiyer nimeshaiendea! kaiongezea na chupa nyingine hivyo upitie pale ukalipe.Ni makosa makubwa kufanya jambo kwa sababu mtu alikufanyia jambo fulani
Huo ni utumwa
Bado hairidhishi
Kungekuwa kumetokea?
Kwanini unataka kufanya kazi?
Habari ya jioni ni njema tu
Shemeji hajambo?
Ukimuona Paloma mwambie ile chibuku yake aliyoisahau kwa mama muuza juzi akaichukue ....lol!!
Utaweza kulipia gharama ya tution?
Kuhusu garama amna shida,nina mti usiokauka madolary
Kinacho sumbua wanaume wa hivyo ni wivu hakuna zaidi!
Me kuna jamaa yangu hataki kusikia mkewe akimwambia habari ya kazi, chaajabu mwanamke ana bahati na kazi mara kadhaa amekuwa akijaribu kutuma maombi anaitwa kwenda kuanza kazi kivumbi na jasho ni pale jamaa anapo ambiwa na mkewe hizo habari za kazi...majibu yake ni yale yale ya unakosa nini!!
Kinacho nipa burudani zaidi kwa jaama ni kwamba cm ya mke wake kaiwekea passwd sehemu ya massage halafu mke wake hazijui kwa hiyo jamaa ndo huwa anaifungua anazisoma kwanza anapo hitaji!...Nikadungua huyo anaangaishwa na wivu!
Ningemuambia MCHAWI MKUBWA wewe, uliniroga niumwe ili niache kazi, ulinichezea picha na kuniteka kiaina.
Ningetafuta kazi na kumtangazia uchawi kwa jamaa zangu.
dah
aiseeeee, ndoa zina mambo
wivu gani ss huo jamani!!
lol natamani ningekuwa mi na hyo bahati ya kupata kazi,nahangaika kutw kafuta kazi na sipati
kweli upele humpata asiye na kucha
Hapo swafiii
Sasa unatakiwa kulipia kabla ya kuanza darasa hapo upo?
Sawa nipe utaratbu
dah
aiseeeee, ndoa zina mambo
wivu gani ss huo jamani!!
lol natamani ningekuwa mi na hyo bahati ya kupata kazi,nahangaika kutw kafuta kazi na sipati
kweli upele humpata asiye na kucha