Swali kwa wanaume

Swali kwa wanaume

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
71,977
Reaction score
177,200
Heshima kwenu!!!!!
Mwanaume unajisikiaje unapokuwa na mwanamke ambaye amekuzidi elimu na kipato pia?????????? And what you can do to make her be under your control? ?

Ni hilo tu..
 
As long as ananiheshimu Wala sioni km kuna tatzo...
 
Kwamimi sioni tatizo, awe ananiheshimu tu
 
Heshima kwenu!!!!!
Mwanaume unajisikiaje unapokuwa na mwanamke ambaye amekuzidi elimu na kipato pia??????????

Ni hilo tu..

Mi ntajiona mdogo a.k.a inferiority complex hata kama ananiheshimu. Yaani kwa mfano hata gari niendeshe la mwanamke kwa kuwa sina? hapana, labda tukubaliane tu, pesa zake ziishie bank tu asizilete nyumbani.
 
enheeeee hapo hapo....nini solution ya hiyo inferiority complex sasa??
 
Heshima ndo kila kitu, inabidi kupenda maendeleo ya mwenzio. Na pale pa kumpa support you do it. Its okay
 
samtymz unaeza ongea kitu akadefine kivingineeeeee ikaleta malumbano..

Kuna familia moja ilikua ivo. Wakapata watoto, sasa wale watoto wakitaka kitu labda kuhusu shule yule mama anawambia mwambie baba atakupa hela, thn mama anazunguka anampa baba, baba anawapa watoto.... Watoto wanajua baba ndio katoa huduma....
 
dream, big dream!!!!

PRACTICAL FACT: Mwanamke akikuzidi elimu na pesa hawezi kukuheshimu. Labda kama unajidanganya tu.

Bora umemwambia, tena afadhari akuzidi elimu (maana elimu ya kwetu ni vyeti tu) lakini sio pesa. Mwanamke akiwa na pesa maamuzi yote atayafanya yeye, anaweza kumleta hata mwanaume ndani akakwambia ni rafiki yake, lakini mwanaume hawezi kuleta mwanamke huku mkewe akamuona hata kama ni rafiki yake, ukweli ndo huo.
 
nataka jinsi ya kumcontrol sasa nifanyeje ili awe under man's control! !???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom