Swali kwa Wanaume

Much words but no logical point
 
Hapo sawa
 
unaweza kubali ila unajua njiani utamfaidi na kuona yote kabla ya hata hoyo ndoa, ila akijifanya kukaza mpaka mwisho namkimbie nisije nikajibebea boom na hizi ndoa za MPAKA KIFO
 
tutakubaliana....kama hana "BIKIRA" leo harusi kesho "TALAKA" ni makubaliano rasmi......maana kibora kinaliwa wakati wowote
 

Binafsi akisema yeye hivyo...nitakubaliana naye.

Ila sitoacha kumchokoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ