Swali kwa Wanaume

Kama bikra nitakubali Ila kama sio asepe tu
 
Sex Huwa haiombwi Kama unaomba karanga (Weak spots) ...
Wanaojua washajua namaanisha nn.... Kama hujaelewa uliza watakwambia.....
 
Mkuu Kuna wanawake wanavaa vizuri pasipo kutamanisha kingono lakini Ni wazinifu balaa humu mitaani!!
 
wanawake wa sasa hivi.....wengi ni mitumba kwahyo acha tuwajaribu tu
 
Naunga mkono hoja.

Dunia imebadilka. Unaingia ndoani unashangaa mtoto hampati miaka inakatika. Kumbe mtu alisha haribu kizazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…