Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
- Thread starter
- #21
Mkuu hawezi akanishinda hata siku moja. Niko fiti sana kwa upande wangu sijui wewe huko.
Kama haujiamini katika mapambano unajitahidi unatafuta means nyingine ya kumshinda Mkuu.
Bado unaamini katika kupigana kama njia ya kutatua tatizo?