Ndoa Itakoma Endapo Mambo Yafuatayo Yatatokea:-
1. -Mmoja Wa Wanandoa Kufariki
2.- Mmoja Wa Wanandoa Kufumaniwa Katika Uzinzi.
3. -Mmoja Wa Wanandoa Kupatwa Na Kichaa (Insanity)
4 Mmoja Wa Wanandoa Kushindwa Kabisa Kufanya Tendo La Ndoa.
Lakini Kabla Ya Kutekeleza Hiyo Namba 2 Jitathimini Kwanza Wewe Kama ni Msafi. Kama Si Msafi Basi Busara Itumike Na Msamaha Upite.
Asante
Ukimfumania au kuwa na uhakika kuwa Mke anakusaliti kwa kulala na mwanaume mwingine cha kufanya ni Kumwacha tu Mwanamke moja kwa moja akaishi na huyo hawara wake.'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.
Mkuu swali jingine hili hapa... Ikiwa huyo jamaa ni mbavu nene na ameshamkoleza mkeo ktk purukushani mkeo na jamaa wakakurudi wewe kwa kukushambulia na kwa kipigo then....Unampaka mafuta huyo Jamaa anaezini nae ili na yeye apate haki yake(kumfumua marinda).
Pili, unaachana na huyo mwanamke hivyo tu Mkuu maana kafanya dharau ya hali ya juu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mkuu...Nyinyi ndio huwa mnashindwa kufanya chochote.....aidha unazimia, au unapiga ukunga!!!!!!
HahahahahhhhMkuu swali jingine hili hapa... Ikiwa huyo jamaa ni mbavu nene na ameshamkoleza mkeo ktk purukushani mkeo na jamaa wakakurudi wewe kwa kukushambulia na kwa kipigo then....
hilo tendo la unajisi unajisiwe wewe after raw utobolewe macho kwaajili ya kupoteza ushahidi baadaye unakuja kuambiwa mkeo na jamaa walitimkie Botwasana watoto wanalelewa na mama yako mzazi...
Utafanya nini on that situation na wakati huo umesharudishwa kwenu May be Iringa mjini umegeuka ombamba kwa kilema alichokusababishia mwanamke ambaye siyo ndugu yako!!!
Please nipe majibu ili tunogeshe huu uzi!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah! Sawa mkuu... Kuna jamaa kageuka ombaomba kwenye situation kama hiyo wanawake wana roho ngumu, Mkewe alimtoboa jicho la kushoto njemba iliyomchocheza mke wa jamaa yeye akapita na jicho la kulia... Wakamfungia ndani funguo wakaondoka nayo ...Hahahahahhhh
Mkuu Mimi mwenyewe mbavu nene mkuu tena hatari sana ndiyo maana najiamini sana. Hiyo nguvu ya kutaka kunifanyia fujo ataipata wapi kwanza? Akileta jeuri zaidi mpasue kichwa na bastola.
Ndoa Itakoma Endapo Mambo Yafuatayo Yatatokea:-
1. -Mmoja Wa Wanandoa Kufariki
2.- Mmoja Wa Wanandoa Kufumaniwa Katika Uzinzi.
3. -Mmoja Wa Wanandoa Kupatwa Na Kichaa (Insanity)
4 Mmoja Wa Wanandoa Kushindwa Kabisa Kufanya Tendo La Ndoa.
Lakini Kabla Ya Kutekeleza Hiyo Namba 2 Jitathimini Kwanza Wewe Kama ni Msafi. Kama Si Msafi Basi Busara Itumike Na Msamaha Upite.
Asante
Mwanamke mzinzi ni kumuacha tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mkuu Ukimfumania Mwenziwako Akiwa Ana zini Inje Ya Ndoa (ikumbukwe Kuwa message Sio Tendo La Zinaa) Una Haki Kwenda Kudai Talaka Yako Mahakamani. Ndio Maana Nikasema Busara Tu Ndio inayo Weza Kunu suru Jambo Hili. Na Msamaha Ukapita.Nani kakuambia kifumania kunavunja ndoa. Ingekua hivyo zaidi ya 80% ya ndo zingevunjika kwa vile hata kukamata text za kimahaba mahaba pia ni kufumania pia.
Mkuu utakua ushamfukuza kisaikolojia...............ataondoka mwenyewe bila kuomba kibali cha safari yakeKwa scenarios zote mbili,
1. Nikimkuta jamaa anamwaga uno kwa mke wangu, kiuhalisia nitasononeka sana, nitanyongea ila sitafanya maamuzi ya pupa. Nitawaacha wamalize mambo yao, ila kwa upande wangu kuna vitu kadhaa vitabadilika, kama ratiba ya chakula na sitamfukuza.
2. Nitamuonesha ushahid nilionao ili ajue kwamba najua anachokifanya nyuma ya mgongo wangu.
Basi subiri ukikutana nayo ndio utajua cha kufanya hapo hapo!Nimeuliza swali, usiniulize swali hilo hilo.
Sina jibu ndio maana nimeuliza humu. Na sijawahi kukutana na 'scenario' hata moja wapo.
Nilishasema sitakuja kumpiga mwanamke ninaehusiana nae, ni bora tukaachana tu.Mkuu utakua ushamfukuza kisaikolojia...............ataondoka mwenyewe bila kuomba kibali cha safari yake