msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
kuwa wazi na kilichotokea maana naona kama unazunguka zunguka, mimi ndio maana huwa nikitaka penzi kwa mwandani huwaga sitaki kusikia oooh baby leo nimechoka let do it kesho,sijui oooooh blaaah blaaaaaah na hii ndio madhara yake unaambiwa l am tired baby na wewe unageuka upande wa pili unakoroma.'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.