Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 776
- 1,556
Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu.
Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like wanaume mkiwa na hawa hamuwaachi au hamchepuki?
Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu wanaume.