Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke nahairisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Hakika kwa hiki nilichokiona na kukishuhudia mwenyewe kwa macho yangu usiku huu hapa kitaani kwangu natangaza rasmi kusitisha kwa muda usiojulikana kufunga ndoa yangu iliyokuwa ifanyike mwishoni mwa mwaka huu disemba.

Nini kimetokea?

Hapa nilipopanga jirani yangu anaishi dada mmoja ambaye ni muajiriwa wa ( tiaraei ) Kariakoo ( jina nalihifadhi ) ambaye ametokea kuwa na mahusiano na mtu mzima fulani hivi ambaye ni dereva taxi wa Kinondoni kwa Manyanya na nakumbuka ni huyu huyu dada ndiye aliyemshawishi huyu mzee aachane na mkewe na waanzishe mahusiano yao na hili lizee likakubali ila kwa sharti kwamba kila mtu kwa sasa akae kwake ambapo hili zee ( dereva taxi ) linakaa bunju na huyu dada yupo kitaani Mbezi Makonde maeneo ya kumbi hizi za sunset na mbaba wa watu kakubali kulelewa na kuwa mtumwa kwa huyu binti kiasi kwamba kila siku asubuhi ni lazima huyu zee jinga aje ampitie hapa na kumpeleka kazini ( TRA ) Kariakoo na jioni anamrudisha kitaani. Mzee wa watu masikini ya Mungu anahadaiwa kwa kudanganganywa hapa na pale na yeye akiridhika na kubweteka tena huku akiwatambia wenzake kuwa huyu msichana kwake hachomoki kwani ameshamtengeneza kwa babu ( mganga ) Bagamoyo na kwamba vitu (penzi) analompa hawezi kwenda nje kwa mwanaume mwingine yoyote nikiwemo hata mimi mentali.

Siku zote jamaa ni lazima aje hapa kwa huyu dada usiku na wanabanduana hadi saa sita (siyo samweli ) usiku kisha anaondoka lakini cha ajabu leo huyu msichana karudi peke yake tena saa moko hivi kisha mida ya saa mbili akasepa zake na bahati mbaya sana kwake na nzuri kwangu ni kwamba muda si mrefu nikiwa nimeshajilalia zangu nikasikia mlio wa gari unakuja upande wa dirisha langu ambako ndiyo njia pia ya kuelekea kwake na huyu ( TRA ) baby kabila Mchaga na msukuma mara gari likasimama ghafla karibu kabisa na lilipo dirisha langu na hapo hapo tena taa nazo zikazimwa ila gari ikiwa inaunguruma tu. Hivyo na mimi kidume nikasema niangalie na niwe standby isije ikawa wenyewe ( wazee wa ngwasuma ) majambazi wamekuja kuniibia hivyo ikanibidi nikodoe mimacho yangu mikubwa dirishani niangalie nini kinaendelea ili kama ni wao kweli basi taratibu nianze kutafuta msalaba wangu wa bikira maria nisali kabla sija resti ini pisi lakini wakati naendelea kusali nikaona gari inatikisika hivyo ikanibidi sasa mimacho yangu hii mikubwa nii zoom mithili ya miwani ile ya 3d nione nini kinaendelea. Jamani hamuwezi amini kumbe alikuwa ni huyu huyu dada ananyonya ice cream ya mwanaume mwingine na kama hiyo haitoshi walipomaliza tu kunyonyana mule katika gari milango ya gari ikafunguliwa nadada akazunguka upande wa jamaa akabong'oa mshua akawa anapiga mambo hadi akakojoa na nahisi alikuwa " anafukuwa uvungu " kwani kuna muda fulani hivi nilikuwa nasikia harufu ya ma.vi na msichana alikuwa akija.mba sana hivyo nikasema ( mtalimbo upo kazini na katika ubora wake ) kisha msichana akavaa pichu yake mshua kawasha gari kaondoka na msichana akazama ndani mwake.

Kinachoniuma


Iledada anazama tu ndani yule mzee ( mwenzangu na mimi ) akaja na kigari chake kama kawaida kumuona baby ( tiaraei ) wake na kilichotokea wakati anagonga mlango afunguliwe akaja beki tatu na kumwambia kuwa dada bado hajarudi na jamaa kila alipokuwa anapiga simu ilikuwa haipatikani hivyo ikabidi aondoke zake shingo upande na dada akawasha simu na kumpigia hili zee tena huku akimuita honey na kumwambia kuwa simu aliizima kwakuwa iliisha chaji na bado yupo mjini hivyo waonane tu kesho asubuhi kumbe dada alikuwa anasikilizia shughuli aliyopewa na basha wake yule mwingine.

Nimejifunza nini?

Hakika siku hizi kumbe hakuna mwanamke wa peke yako hapa Tanzania na hata kama utaona mwanamke anakupenda mno au anakujali kwa hali na mali usidhani kuwa huchapiwi na wenzio. Kumbe wanaume wasiopenda kuoa na badala yake wanaamua tu kuwa masela hawajafanya maamuzi mabaya na nawaunga mkono 100%.

Hitimisho

Sasa ni rasmi kuwa ule mpango wangu wa kufunga pingu za maisha nimeusitisha rasmi na kuanzia sasa kwa maudhi na upuuzi huu wa huyu dada jirani yangu tena niliyekuwa namweshimu nasema " sitaki demu " isipokuwa sasa nitakuwa nawabadilisha tu na mimi kama mboga za majani vile. Na nimeshikwa na hasira hadi nimeshindwa hata kumtakia usiku mwema girlfriend wangu nikihisi kuwa na yeye huko alipo sasa watu " wanafunga mahesabu " na kibaya zaidi hata akisema kesho aje na nimkague papuchini kama katokwa kugongwa nitaishia tu kupandwa na nye.ge na nitambandua kisha nitasahau. Enyi wanaume mnaotegemea kufunga ndoa weekend hii nawatakieni tu kila la kheri ila najua wengi wenu mtakuja kuzijutia hizo ndoa zenu na pesa mlizotumia kuzigharamia huku bado mkiwa mnabanduliwa wake zenu.

Nawatakieni usiku mwema japo kiukweli mimi kwa hasira na machungu niliyonayo juu ya mwanaume mwenzangu kusalitiwa huku nikiona " live " bila chenga sekeseke zima usingizi umeshindwa kuja na sasa nimejikalia zangu tu kitandani. Yaani nilivyoumia utadhani mimi vile! Dada zangu hivi ni nani kawarogeni nyie?

Nawasilisha
 
GENTAMYCINE


Pole kwa ulichoshuhudia Mkuu.
Ila sidhani Kama Leo Ndo Mara ya kwanza unatambua kuwa kuna watu wenye tabia hizo...naamini ulishaona mahali pengine au Hata ulishasikia mahali flani.

mimi binafsi sikushauri uendelee na uamuzi wako wa kutofungua Ndo au kubadili mademu Kama Mboga...huko ni kujiaribia maisha na unajiweka ktk risk zaidi.

Hitimisho;

Usiishi kutokana na influence za maisha ya watu, try to find yo own way to live....

Life is beautiful when u have common standing and yo own choice.

Niwekee kadi ya mchango wa harusi Kama vipi....
 
Last edited by a moderator:
GENTAMYCINE

Naona majukumu ya "Kazi Maalum" yamekuchosha leo umehamia kwenye Umbea, BTw mbele ya hizo kumbi za sunset kuna mahali wanauza bia bei chee! Umerudi lini mkuu? ID hii unaigwaya kuelekea oktoba! Mzima lakini jirani???!!
 
Last edited by a moderator:
Papuchi haina makombo, dawa yake maji tu tena ya chooni halafu inakua mpyaa.
Mkeo ni mke wako usiku tu ukiwa nae kitandani. hata huyu girl friend wako hajawahi kukupa mvunguni tu kwa sababu umetangaza ndoa lakini wenzio walio anza nae wanapewa sana.
Ukimchunguza demu sana itakula kwako
 
Mkuu kuna mkanganyiko sana katika hii story yako...huyu dada ni jirani kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom