Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

Heri ya pasaka wakuu. Nmekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kua matamu mara yule hakua mtamu.

Hua nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake.Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like wanaume mkiwa na hawa hamuwaachi au amchepuki?

Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu wanaume.
Lugha uliyoitumia kuuliza swali ni ngumu sana mkuu
 
Kwahio wew kwako utamu ni size? Ni kweli size zinatofautiana? Vagina si iko elastic inatanuka kutokana na mtumiaji?
Nani aliyekuambia ile ni elastic inatanuka kutokana na mtumiaji! Hivi unadhani upana wa Wema sepetu kipindi alipokuwa bonge na sasa hivi alivyokuwa skeleton upo vile vile.

Kwa vile wewe ni ke itakuwa ngumu sana kutuelewa hapa kwa sababu sometimes hata sisi wenyewe huwa hatujui what are their differences.
 
Utamu wa mwanamke ni hisia za Mwanaume kwa Mwanamke husika,

Mwanamke akiwa mtamu kwa Mwanaume mmoja haimaanishi kua huyo Mwanamke atakua mtamu kwa wanaume wote,

Ni sawa na chakula tu,kuna mtu atasema Biriani la Kuku ni tamu ila mwingine atasema hapana,Ugali na dagaa ndio mtamu,

Utamu wa Mwanamke ni feeling tu za anaye mtumia,sio kwamba utamu huo ni formula.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri
 
Okey , ngoja nikujibu mimi hapa. Ipo hivi, Kwanza kabisa ni kweli kuna wanawake watamu na ambao sio watamu, Lakini kuna msemo wa kiswahili unasema "Utamu wa Pipi ni Mate yako" So, utamu unatofautiana kwa mantiki kwamba mwanamke anaweza akawa mtamu kwa huyu na asiwe mtamu kwa Yule, Kutokana na sababu mbalimbali lakini pia mwanamke anaweza akawa mtamu leo na asiwe mtamu kesho.. Kuhusu utamu ni kitu gani haswa, naomba nikwambie kwamba utamu ni vitu vingi sana na vinatofautiana kwa kila mtu nitataja vichache (Tightness, Joto, Maji , ringtone, mikogo, ufundi, Mnato, Usafi na Harufu, ubunifu, na vingine vingi)


Kuhusu swali lako la pili kama mtu kuwa mtamu itamfanya adumu kwenye mahusiano , Jibu ni Hapana. Kudumu kwenye mahusiano au ndoa Hakuhusiani kabisa na mwanamke sijui kuwa mtamu au kuwa mzuri. Mambo yanayohusika ni mengine mengi tofauti kabisa. Japo vijana ambao hawapo matured enough watakuja na kusema hapa kwamba utamu au uzuri ndio kila kitu.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri nazidi kuelewa.
 
Waje kwakweli wanipe majibu.
Utamu wa mwanamke kwangu mie ni package of things.... unaanzia na mvuto...yaani lazima awe sexy...the moment u see her dushe tayari lipo juu. Utamu kitu mnato alafu full mlenda ...yaani mautelezi kama wote.
Last but not least she must be naughty...sio mwanamka namwambia bby let me cum in in ur mouth ananiambia oh siwezi huyo kwangu sio mtamu au nimwambia leta tigo ninyonye akatae sio mtamu kwangu maana tayari starehe yangu kashaitia dosari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom