Swali kwa wanaosali kwa mama Lwakatare

Swali kwa wanaosali kwa mama Lwakatare

Nileteeni hao 'bounty of war' kabla hamjajilipua bwana..., msiwe wachoyo sasa..., nyie si mna 72 kule tena nasikia ni watoto wa kitanga wale....

We pashkuna shika adabu yako!
Unaniita mi bwana hali ya kuwa unafahamu kuwa mi mume wa mtu!

Nyambaff! Unanilegezea sauti ili unijaribu!?
Nasema "shindwa pepo mchafu wa ngono"! Shindwa kwa jiiiiiiina la Kadinali pengo!
 
We pashkuna shika adabu yako!
Unaniita mi bwana hali ya kuwa unafahamu kuwa mi mume wa mtu!

Nyambaff! Unanilegezea sauti ili unijaribu!?
Nasema "shindwa pepo mchafu wa ngono"! Shindwa kwa jiiiiiiina la Kadinali pengo!

Allaaaaah...! kumbe we ni Mke wa mtu..., niwie radhi Mkuu...!
 
Je,naweza kuona kupitia uzi huu hapa picha za pamoja ya mme wa mchungaji Rwakatare na mkewe mhe.Dk. Getrude Rwakatare ?!
 
Kuna baadhi ya watu wakishaingia kwenye thread kuchangia basi mada inapotea na matusi na kashfa za dini zinaanza.Hawa watu wanaharibu sana ladha ya mijadala JF na kufanya paonekane si mahala pa watu makini.Hii kwa kiasi kikubwa inashusha hadhi,kukubalika na umaarufu wa JF,mana watu makini wanaquit,au wanabaki kuwa watizamaji bila kuchagia.
Mods it about time kuangalia hili suala,watu kama hawa ambao uwepo wao siku zote unachafua hali ya hewa na divert mada waondolewe maana awa-add value zaid wanafanya kinyume
 
Hivi kuna solo gospel artist flani alikua anaitwa Jackrine William,kitoto flani kizuri kina asili ya bukoba na rwanda analikua anasali hapo na alikua muimbaji,hivi yupo wapi?

Dogo hawa wooooote walio Kujibu hapa wana mapepo muhimu kujua ni kwamba tunamuandaa kuibuka kama MSUKULE IN 3 YEARS SWALI LINGINE?
 
Hili jamaa ni chawi kwa nn msilifugie mods


Sent from Iphone
 
Hakajachukuliwa msukule kweli maana kanisa la huyu Mama tunalijuwa lina vidudu toka Nigeria vinafugwa mle ndani.
 
vita vya hawa jamaa nawakumbuka wake zangu, mke mdogo na mkubwa...ilikuwa shida!!!
 
Back
Top Bottom