Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Nilikuwa tayari kuona Tanzania inaoongozwa na Rungwe lakini sio kumuona fisadi Lowassa anachukua nchi. Kila maamuzi ambayo rais Dkt Magufuli anafanya yapo kwenye Ilani ya CCM...Kama chuki ya hao Nyumbu ipo, basi waichukie CCM ambayo imemtuma rais Magufuli atekeleze Ilani yake. Na hiyo inajumuisha ishu ya bomoa bomoa pia. Kurasa mbili zimeongelea hili suala na rais analitekeleza kwa ufasaha kabisa.
Nioneshe kwenye ilani ya CCM waliposema watafuta safari za nje ya nchi