Swali kwa Wanaopinga Mwendo wa Magufuli na Serikali Yake

Magufuli anakurupuka katika uongozi wake. Jambo ambalo linakera wengi ni kuhusu Bomoa bomoa. Ni jambo zuri lakini amekurupuka mno.

Kwa sasa inapaswa kuangalia namna ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na ndio wimbo wapinzani walikuwa WANAIMBA KATIKA KAMPENI. Na pia ndio maana watu wengi walijiunga na upinzani kwa kutaka mabadiliko ya kiuchumi. lakini unapombomolea mtu nyumba katika kipindi hiki unampa umasikini wa hali ya juu kabisa.

Watu waliichukia CCM kutokana na miaka yote kushindwa kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi wake. na ndio maana wengi walijiunga na upande wa upinzani na kufanya uchaguzi kuwa mgumu sana kwa upande wa chama tawala.

Tuna changamoto nyingi ambazo zipo katika jamii ndizo serikali tulitarajia wataanza nazo. Hata katika kampeni Rais Magufuli hakutoa ahadi ya kuwa akichaguliwa, serikali yake watabomoa nyumba za makazi ya watu katika hali hii ambayo inawaacha wananchi wakikosa sehemu za kuishi. Huenda ndio moja ya sera ya CCM uchaguzi uliopia, lakini mbona hawakuisema katika kampeni ili tujue kabla??

Ni serikali gani hii isiyo na huruma kwa wananchi wake??????
Why don't you understand this? Kama mtu amejenga kwenye open space au bondeni amefanya hivyo aidha bila kibali au kwa kuhonga watoaji wa vibali. Every city has a masterplan ambayo kwa waTanzania ni kitu ambacho hawakiheshimu-both wajengaji mabondeni na watoa vibali serikalini. The government has to start somewhere. Tumemchagua Dr. Magufuli na kumwomba aondoe corruption kwa hiyo tusimchagulie corruptions za kuondoa.
 
Swali la Ugomvi: Kwa wale ambao hawakubali mabadiliko ambayo yanaongozwa na Magufuli na Serikali yake ni kitu gani ambacho wao wasingekifanya ambacho Magufuli amekifanya? Kwamba, kama wangekuwa na uwezo "wangetengua" mambo gani ambayo Magufuli ameyafanya hadi sasa?
Uteuzi wa Baraza la Mawaziri wa Kikwete kumi na Tano na Maswi kupewa ulaji tena.
 
Aanze na majipu makubwa kama Escrow,hili la bomoa bomoa lina haraka gani?Bado IPTL wanaendelea kutukamua 4 bilion a month,sasa kipi kipaumbele?Haya naona ni maigizo tu,majipu makubwa hayajaguswa
hili la iptl tunasubori huyo tapeli singa kukamatwa na kutupwa lupango. sio jizi linatusanif na kutuona wajinga. eti kwa kua singa ndio tunashindwa kukubali kama jizi. tunaona uchungu sana eti habinder singh anaendelea kukubalika kama kanunua iptl wakati ilitakiwa kuwa mali ya umma chini ya tanesco.
 
Sababu kubwa hasa ya wao kumpinga Raisi Magufuli wala haihusiani na yale anayoyafanya bali ni chuki binafsi tu ambayo wanayo dhidi ya Raisi Magufuli kama biandamu na pili dhidi ya Chama chake cha CCM, hakuna kitu ambacho Raisi Magufuli atafanya ambacho watamuunga mkono, kwa kifupi ni wafuasi wa fisadi Lowasa na lengo lao kubwa ni kutaka fisadi Lowasa wao abakie relevant kwenye siasa za TanZania na ndiyo maana wanakesha wakiomba Miungu yao ili tu Raisi Magufuli ashindwe kwa maana kuna watu wengi sana TanZania leo hii hasa wale waliompigia kura fisadi Lowasa wanasema kwamba anayoyafanya Raisi Magufuli fisadi Lowasa kama angeshinda Uraisi asingethubutu na wala asingeweza kuyafanya hata tu theluthi yake!
Mbona ameshindwa kabla hajaanza ndiyo maana mkwere kaenda kumfunga speed gavana juzi
 
Magufuli anakurupuka katika uongozi wake. Jambo amblo linakera wengi ni kuhusu Bomoa bomoa. Ni jambo zuri lakini amekurupuka mno.

Kwa sasa inapaswa kuangalia namna ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na ndio wimbo wapinzani walikuwa WANAIMBA KATIKA KAMPENI. Na pia ndio maana watu wengi walijiunga na upinzani kwa kutaka mabadiliko ya kiuchumi. lakini unapombomolea mtu
nyumba katika kipindi hiki unampa umasikini wa hali
ya juu kabisa.

Watu waliichukia CCM kutokana na miaka yote kushindwa kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi wake. na ndio maana wengi walijiunga na upande wa upinzani na kufanya uchaguzi kuwa mgumu sana kwa upande wa chama tawala.

Tuna changamoto nyingi ambazo zipo katika jamii ndizo serikali tulitarajia wataanza nazo. Hata katika kampeni Rais Magufuli hakutoa ahadi ya kuwa akichaguliwa, serikali yake watabomoa nyumba za makazi ya watu katika hali hii ambayo inawaacha wananchi wakikosa sehemu za kuishi. Huenda ndio moja ya sera ya CCM uchaguzi uliopia, lakini mbona hawakuisema katika kampeni ili tujue kabla??

Ni serikali gani hii isiyo na huruma kwa wananchi wake??????
tunataka utii wa sheria bila shuruti. sheria inasemaje kwa wanaojenga mabondeni. je hawaijui sheria ?kwa hiyo wewe ungependekeza nini hasa katika hili kamanda. usilalamike hovyo kama mnywa viroba kamanda. ukilalamika toa na mawazo yako. tunataka JF ya namna hii. acheni ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu
 
Kuwabomolea watu wa mabondeni kama walio pembezoni mwa MTO msimbazi kwa upande wangu naona serikali ina huruma na wananchi wake.

Tunahitaji uchumi ulio mzuri kisha mengine yote yanawezekana. Na siyo kuwarudisha watu katika hali ya umasikini kisha mnajisifia huku wananchi wanakufa kwa presha, maradhi ya nayosababishwa na ubaridi wa kulala nje hasa kwa watoto.

Serikali imekosa ubinadamu kabisa. Bomoabomoa sidhani kama nia jambo la kulipa kipaumbele sana. Lakini kwa kuwa serrikali yetu ya awamu ya tno ni ya kukurupuka kimaamuzi wamelivalia njuga suala la bomoabomoa hadi kila mkoa nao kuamua kutangaza zoezi hilo.

je, miaka yote walikuwa wapi kama siyo COPY & PASTE ya uongozi wa awamu ya tano. Tulishuhudia COPY & PASTE katika kampeni.
 
Katika maelezo yangu uliyoyanukuu, mimi nimesema nini mapendekezo yangu.

Naomba yarudie tena kuyasoma.
 
Tunahitaji uchumi ulio mzuri kisha mengine yote yanawezekana. Na siyo kuwarudisha watu katika hali ya umasikini kisha mnajisifia huku wananchi wanakufa kwa presha, maradhi ya nayosababishwa na ubaridi wa kulala nje hasa kwa watoto.

Serikali imekosa ubinadamu kabisa. Bomoabomoa sidhani kama nia jambo la kulipa kipaumbele sana. Lakini kwa kuwa serrikali yetu ya awamu ya tno ni ya kukurupuka kimaamuzi wamelivalia njuga suala la bomoabomoa hadi kila mkoa nao kuamua kutangaza zoezi hilo.

je, miaka yote walikuwa wapi kama siyo COPY & PASTE ya uongozi wa awamu ya tano. Tulishuhudia COPY & PASTE katika kampeni.
LOWISAAAAAAAAAA
 
Naona umekuja na hasira bila hoja. Mimi nitaendelea kuamini kuwa, kuwabomolea watu wanaoishi mabondeni serikali inawapenda wananchi wake kwa sababu hatua hii inaokoa uhai na mali. Ni mwaka Jana tu maeneo ya Kilosa na Jangwani mafuriko yalifika mpaka juu ya bati, watu walipoteza Mali zao zote na uhai wao ulikuwa hatarani. Sijui kama mtakuwa tayari wananchi kubaki maeneo hayo yanayoeleweka ni hatari kwa maisha, ila mafuriko yakitokea asitokee mtu wa kuomba msaada serikalini. Kila mtu itabidi ajiokoe mwenyewe.
 
MWaka jana jiji la DSM kulikuwa na mafuriko na idadi ya waliopoteza maisha haikufika kumi.

Katika bomoabomoa ya serikali yenu kwa wananchi walalahoi imesababisha vifo vya raia wanyonge wapatao 37, na bado wakiendelea watakufa zaid ya hao. Katika bomoabomoa watu wengi wamepoteza mali zao zaidi ya maafa ya kupoteza mali wakati ule wa mafuriko.

Sasa je, unataka kulinganisha mafuriko yale na hii bomoabomoa ya leo ambayo haikuwa namaandalizi na ndio maana kuna athari kubwa kuliko yale mafuriko.

Binafsi nasema kuwa "NI HERI YA MAFURIKO KULIKO BOMOABOMOA INAYOENDESHWA NA SERIKALI AWAMU YA TANO!!!!!!" kwani hii athari zake ni kubwa zaidi sawa na bomu la nyuklia.
 
Ndio maana tunauliza ili tuweze kufunguliwa macho. Haya mambo yanahitaji wajuzi watusaidie. Tunauliza tu

Isije ikafika mahali tunakimbia na kasi ya Hapa kazi, tunaacha wenzetu nyuma.

Nyani Ngabu The Boss JokaKuu Judi wa Kishua MsemajiUkweli

Mh Spika atakuwa kapata kibali, ata hivyo ni mgonjwa muda mrefu sidhani kama kilichompeleka India ni uchovu wa kawaida nafikiri afya yake ina mushkeli.

Swali la MM nimeliona ni la msingi sana ukizungusha akili ila ni la hovyo pia ukizungusha mikono
 
Taarifa iliyopo ni kuwa amekwenda kutibiwa uchovu. Mpwa, uchovu unatibiwa India?

Swali la Mwanakijiji ni zuri sana ndiyo maana tunaanza taratibu ili twende pamoja

Huwezi kubadilisha watu bila kubadilisha mfumo. Huwezi kuweka amri na sheria kabla baada ya ...

Hoja ya kumweka mgonjwa wa uchovu ilikuwa kuonyesha jambo moja, kwamba Magufuli kafanya, lakini hakufanya kama inavyopaswa

1. Wakati anaweka marufuku ya kusafiri watu walishangilia.
Nadhani alitakiwa aweke taratibu za kusafiri kwanza halafu marufuku.

Leo tunaona kauli ya kuzuia watu kwenda India baada ya mzee kuugua uchovu
Huu si utendaji ni reactions

2. Wamevunja nyumba halafu wanatafutia watu hati na watoto shule. Hivi hawakujua haya yatatokea?
Wamesimamisha zoezi! Pengine walitakiwa wakae kitako kabla ya kuanza na magreda, wameanza na matinga tinga sasa wanaita kikao ! huu ni ufanisi

Mifano ni mingi, hiyo miwili inatosha kuonyesha kuwa kinachofanyika si kigeni na tutarudi kule kule

Kinachotakiwa ni kuweka mifumo imara ya kudumu kuhusiana na mambo yetu
Tunahitaji chakula si big G
 
Swali la Ugomvi: Kwa wale ambao hawakubali mabadiliko ambayo yanaongozwa na Magufuli na Serikali yake ni kitu gani ambacho wao wasingekifanya ambacho Magufuli amekifanya? Kwamba, kama wangekuwa na uwezo "wangetengua" mambo gani ambayo Magufuli ameyafanya hadi sasa?
Mkuu MM naomba niliweke swali lako katika muktadha ninaoweza kuchangia

Kwanza, kupinga ni kukataa yanayofanyika. Kupinga si lazima iwe ubaya, inaweza kuwa ni kwa mtazamo tofauti.

Tukubaliane mitazamo tofauti tuweze kuzipa akili zetu nafasi za kuelewa na kuelewana sisi wenyewe

Pili, kutofautiana kwa mawazo si lazima iwe kupinga, ni namna ya jambo linavyofanywa

Na hapa ndipo ninapotolea mfano kujibu hoja yako inayofikirisha

Mosi, sote kwa pamoja tunakubaliana hali yetu ni mbaya katika kila kona.

Tunahitaji mtu mwenye uthubutu. Mtu huyo ndiye huyu anayesemwa.
Je, uthubutu maana yake ni kutenda tu au ni kutenda kwa maarifa?

Kwa mtazamo wangu, pengine finyu, hatua zinazochukuliwa hazina matatizo.
Hata hivyo, nina tatizo na jinsi zinavyochukuliwa na kutekelezwa

Hakuna jambo jipya ambalo halijawahi kufanyika katika yanayotokea.
Kinachotokea ni kuzindua 'restart' na kuhamasisha re-invigorate

Ningalikuwa katika nafasi uliyosema ningelifanya tofauti kwa namna ifuatayo

Ningeahirisha sherehe za uhuru kuokoa pesa, iwe ya usafi kama alivyofanya Magufuli.

Nisingeishia hapo kwasababu usafi ni jambo la kila siku.

Jioni niongee na waganga wakuu wa mikoa,wilaya, mabwana afya, waziri wa afya na naibu,meya na madiwani wake Diamond jubilee niwape ultimatum . Kupitia wa ningetoa ujumbe kwa nchi nzima.

Kwamba, jiji , miji na mitaa imesafishwa tarehe 9, sitaki kuona uchafu ulioondolewa unarudi tena.
Kwamba, eneo lenye taka wahusika watawajibika mara moja na hapa ni wahusika wa afya na miji

Kipindu pindu kikitokea mtu akapoteza maisha au kikadumu kwa siku 3, wahusika vIongozi/watendaji wa sekta ya afya, jiji, mji na manispaa waeleze kwanini kimetokea na kwanini wasiwajibike baada ya siku 3

Ningewaambia tarehe 9 dec ya mwaka mwingine si ya usafi tena, eneo litakalokumbwa na magonjwa ya mlipuko mara 3 katika kipindi hicho cha mwaka, wahusika watimuliwe 9 dec saa 1 asubuhi

Ningeagiza jiji livunje kandarasi za wakusanyi taka wanaotumia mikokoteni.

Mkandarasi aje na mashine za kisasa , na kupewa mkataba unaoeleza ABCD za majukumu yake.

Mkandarasi atakayezembea, bodi iliyompa kazi na wahusika wataubeba 'msalaba'

Jiji liziibue mitaro na kusimamia sheria za utuapji hovyo wa taka.Wakishindwa majukumu wanakwenda na maji

Nita Impose tax kwa makampuni yanayotumia chupa za plastic na mifuko kuyataka yachukue social responsibility kutokana na uchafu wa bishaa zao. Asiyetaka au kuweza akae pembeni

Nitampa habari waziri husika mabwana wasimamishe uuzaji holela wa vyakula barabarani.

Vyakula viuzwe maeneo yanayokidhi usafi,kinyume chake wahusika wanabebwa na maji on spot

Sitahangaika na mabwana afya katika kusimamia shughuli. Nitakula sahani na wakubwa zao tu

Kwamba pindu pindu lipo siku 3, waziri atoe maelezo i. Yasipokidhi haja jioni naapisha mwingine

Structure nzima nitaijenga ifanye kazi kwa pamoja, na sitafanya micro management
system itakayofanya kazi yenyewe kila mtu akimkaba shati mwenzie

Niikiminya waziri mkuu au waziri husika, maumivu anayasikia bwana afya wa mtaa (trickle down)

Ni usafi endelevu wa kuokoa pesa, si pesa za sherehe bali zinazotumika kutibu magonjwa yanayozuilika mengine kwa kufagia tu.

Nisingefanya kama tukio la siku moja baada ya hapo tunarudi pale pale hadi tukio lingine tena, upotevu wa muda kwa ' unsustainable project'

Ahsante
 
Last edited:
hiki chenyewe ni kijembe.mnauliza maswali halafu mnakuwa na majibu mnayoyapenda, pointi yako inamuandaa mtu kushambulia kuliko kuja kwa hekima.livejr
Umenena vyema sana mkuu.
 
Nasikitishwa sana na baadhi ya watu wanaolaumu utumbuaji wa majipu yanayofanywa na Rais wetu mpendwa.
Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam alitumbuliwa tu juzi na wengine kusema alifanya makosa. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga alitumbuliwa na wengine wakalaumu ambapo leo hii wafanyakazi hewa 226 wamebainika mkoani humo.
Haya majipu yanapokuwa yanatumbuliwa hadharani ndo inakuwa vizuri ili ambao hawajatumbuliwa wafanye Kazi bila mazoea maana walishaigeuza Tanzania kama Shamba la bibi.
 
Sababu kubwa hasa ya wao kumpinga Raisi Magufuli wala haihusiani na yale anayoyafanya bali ni chuki binafsi tu ambayo wanayo dhidi ya Raisi Magufuli kama biandamu na pili dhidi ya Chama chake cha CCM, hakuna kitu ambacho Raisi Magufuli atafanya ambacho watamuunga mkono, kwa kifupi ni wafuasi wa fisadi Lowasa na lengo lao kubwa ni kutaka fisadi Lowasa wao abakie relevant kwenye siasa za TanZania na ndiyo maana wanakesha wakiomba Miungu yao ili tu Raisi Magufuli ashindwe kwa maana kuna watu wengi sana TanZania leo hii hasa wale waliompigia kura fisadi Lowasa wanasema kwamba anayoyafanya Raisi Magufuli fisadi Lowasa kama angeshinda Uraisi asingethubutu na wala asingeweza kuyafanya hata tu theluthi yake!
Sisi ni kazi tu hatubabaishwi na kundi la Lowassa na yeye ndo kwa heri
 
Back
Top Bottom