Swali kwa wanaoishi nyumba za kupanga!!

Swali kwa wanaoishi nyumba za kupanga!!

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
Ni mara nyingi nimekuwa nikiona watu wakitaabiika katika hili na hata kufikia wakati mwingine kuanza kuleta migogoro kati ya mwenyenyumba na mpangaji wake..ishu ni juu ya mkataba wa kupanga chumba au nyumba..hivi mfano mtu anapolipia chumba kwa mda wa miezi 6 tuseme kalipa tar 10 mwezi wa sita (10/06) na mkataba ni wa miezi sita...huyu mtu anatakiwa kulipa tena lini? nauliza hivi sababu kuna wenye nyumba wanatabia ya kuhesabu mkataba tarehe ya kuanza tu mfano mtu akilipa tar 1 mwezi a sita nijuavyo mimi itambidi kulipa tena tar moja january mwaka ujao maana miezi sita ni kuanza huo mwezi a sita hadi mwezi wa 12..sasa wenye nyumba wengine wanatabia ya kuwalazimisha wapangaji wao kuwa walipe tena tar 1 mwezi wa 12 kuwa ndo mda wao umeisha..sasa jamani embu tuwekane sawa katika hili wakuu kwa kuchukulia mfano mtu akilipa kodi tar 10 hivi mwezi wa sita , je mtu huyu atatakiwa kulipa tena lini ikiwa atakuwa amelipa kodi ya miezi 6? (nauliza hivi sababu na mimi yamenikuta)
 
Ukilipa kodi ya miezi 6 tarehe 10/6, unawajibika kuanza kutumia kodi nyingine tarehe 9/12. Japokuwa mwenye nyumba ana haki ya kukutaka kulipa kodi mwezi mmoja kabla ili kama hutokaa atafute mpangaji mwingine. Tatizo hili lilikuwa linanisumbua nikiwa mtoto juu ya umri wangu.
 
ukilipa tar 10 jun ni mpaka 9 jan ndo kod yako inaisha, eidha uondoke au ulipie tena, tafuta visoda umuhesabie huyo mwenye nyumba wako aelewe.
 
Ninachotaka kujua King'asti ni mkataba wako unaisha lini..na kama ukiamua kuendelea mkataba unaofuata utaanza rasmi lini (kwamba itakubidi ulipie tena lini?) kuna rafiki yangu wa karibu sana amehangaika sana juu ya hili huku jijini.
 
ukilipa tar 10 jun ni mpaka 9 jan ndo kod yako inaisha, eidha uondoke au ulipie tena, tafuta visoda umuhesabie huyo mwenye nyumba wako aelewe.
hata mimi mkuu ndo nilikuwa naelewa hivi..ndugu yangu mmoja analalamika sana eti anatakiwa alipe tena 9 december kwa mkataba mpya..anataka kuhama na jiji hili kama ujuavyo tena kupata chumba ni ishu labda uende jangwani..
 
Mweh! Kuna haja ya kuhesabu siku 30 mara 6,lol
ukilipa tar 10 jun ni mpaka 9 jan ndo kod yako inaisha, eidha uondoke au ulipie tena, tafuta visoda umuhesabie huyo mwenye nyumba wako aelewe.
 
Hilo ni tatizo lako na huyo rafiki yako la hesabu, King'ast kakujibu vizuri, ni kwamba mwezi wa 7 tar 10 (1), mwezi wa 8 tar10 (2), mwezi wa 9 tar10 (3), mwezi wa 10 tar10 (4), mwezi wa 11 tar10 (5), mwezi wa 12 tar10 (6) - kodi ya miezi sita inakuwa imeisha, ukikaa mpaka mwezi wa kwanza tar 10 hiyo itakuwa ni miezi saba na sio sita tena. Kama hujaelewa tafuta visoda au hesabia na vidole kuwa mpaka tar10 mwezi wa 7 utakuwa umekaa mwezi mmoja, na mpaka tar 10 mwezi wa 12 utakuwa umemaliza hiyo miezi 6. Toa kodi wala usikimbie mkuu.
 
Pia unaweza endelea kukamilisha mzunguko wa miezi 12. Haya mpaka tar10 mwezi wa kwanza (7), mpaka tar10 mwezi wa 2 (8), mpaka tar10 mwezi wa 3 (9), mpaka tar10 mwezi wa 4 (10), mpaka tar10 mwezi wa 5 (11), mpaka tar10 mwezi wa 6 (12) unakuwa umeshamaliza kodi yako ya mwaka (12months). Naamini hapa utakuwa umeelewa.
 
Hilo ni tatizo lako na huyo rafiki yako la hesabu, King'ast kakujibu vizuri, ni kwamba mwezi wa 7 tar 10 (1), mwezi wa 8 tar10 (2), mwezi wa 9 tar10 (3), mwezi wa 10 tar10 (4), mwezi wa 11 tar10 (5), mwezi wa 12 tar10 (6) - kodi ya miezi sita inakuwa imeisha, ukikaa mpaka mwezi wa kwanza tar 10 hiyo itakuwa ni miezi saba na sio sita tena. Kama hujaelewa tafuta visoda au hesabia na vidole kuwa mpaka tar10 mwezi wa 7 utakuwa umekaa mwezi mmoja, na mpaka tar 10 mwezi wa 12 utakuwa umemaliza hiyo miezi 6. Toa kodi wala usikimbie mkuu.

Safi sana kodi yake inaisha 10 Dec 2011

Mkuu lipa kodi tu,kama hautaki kulipa jenga ya kwako then utaona,mfuko wa cement sh 15,000/=
 
Hilo ni tatizo lako na huyo rafiki yako la hesabu, King'ast kakujibu vizuri, ni kwamba mwezi wa 7 tar 10 (1), mwezi wa 8 tar10 (2), mwezi wa 9 tar10 (3), mwezi wa 10 tar10 (4), mwezi wa 11 tar10 (5), mwezi wa 12 tar10 (6) - kodi ya miezi sita inakuwa imeisha, ukikaa mpaka mwezi wa kwanza tar 10 hiyo itakuwa ni miezi saba na sio sita tena. Kama hujaelewa tafuta visoda au hesabia na vidole kuwa mpaka tar10 mwezi wa 7 utakuwa umekaa mwezi mmoja, na mpaka tar 10 mwezi wa 12 utakuwa umemaliza hiyo miezi 6. Toa kodi wala usikimbie mkuu.
So mkuu anayeingia tar 1 / 06 mkataba wake wa miezi sita unaisha tarehe moja december sio??
 
ndo manana 2010 Mining Act is a mess
kumbe kuhesabu tarehe ni kazi hivi?!!
 
So mkuu anayeingia tar 1 / 06 mkataba wake wa miezi sita unaisha tarehe moja december sio??

Ndiyo mkuu!!
kwani kinachokuchanganya ni nini?
maana ukiingia tar 1/12 mkataba wa miezi 6 unaisha tar 1/6 na ukiingia tar 1/1 mkataba unaisha tar 1/7.
 
Back
Top Bottom