Mwanaume anyenyimwa tendo la ndoa ni mkali kama Simba

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Mwanaume akinyimwa tendo la ndoa anakuwa mkali kama Simba.

Hapa nazungumza maana nishaona familia baadhi ambazo wake wanakuwa wanawanyima waume zao tendo pendwa.

Hata zile baadhi ya familia ambazo wametengana kitanda kwa nugomvi tu.

Sasa kuna wale ambao wanaishi na wake zao lakini wanavaa vipensi vya jinsi.

Balaa lake sio la nchi hii maana mwanaume akitaka kugusa anasukumwa kule mke analala mzungu wa nne.

Baba wa familia anakuwa mkali kuanzia kwa wototo wake nyumbani yaani ni kichapo mwanzo mwisho.

Sasa hapo akienda kazini alafu ni bosi Fulani aisee wafanyakazi watakipatapata.

Muda wote anakuwa na hasira mbinuko yaani anaweza kukuporomosha matusi.

Wanawake fanyeni kuwapa waume tendo la ndoa msiwanyime.

Kunyimwa "haki" kunaleta maandamano
 
. Kwa nini umnyime wakati, Mzigo umelipiwa mkuu..
. Kungwi alivyo sema mwanamke usilale na nguo wakati wa usiku(alikua na maana yake)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom