Swali kwa Walevi

Swali kwa Walevi

Jamaa mmoja alivua ngumbini kayajaza c unajua tena nyumba za kupanga. Jamaa ilimbidi awe anaondoka usiku mkubwa na anarudi ucku mkubwa maana hadi watoto waliona mzee baba alivyoyajaza basi na pombe akaacha, sasa iko wapi starehe hapo
 
Alafu uwa najiuliza hv kwa nn watu wasiotumia pombe awajatupiga gap kubwa kimaisha maana walevi kusipendi laki kwa siku niswala la kawaida mno sasa tukija kwenye swala la maendeleo unakuta sisi walevi tumewapiga gap kubwa wale ambao sio wanywaji kiasi kwamba kuja kwako kuomba umkope ata elfu hamsini nikawaida Sana. Sasa sijui wenzetu uwa wanakosea wapi?
 
Zamani nikiwa bado dogo kabla sijaijua pombe, nilikuwa najiuliza maswali kama wewe.

Ila toka nilivyoionja tu, ikawa mwendelezo hadi wa leo.Ngoma usiyoicheza huwezi ijua utamu wake.
 
Alafu uwa najiuliza hv kwa nn watu wasiotumia pombe awajatupiga gap kubwa kimaisha maana walevi kusipendi laki kwa siku niswala la kawaida mno sasa tukija kwenye swala la maendeleo unakuta sisi walevi tumewapiga gap kubwa wale ambao sio wanywaji kiasi kwamba kuja kwako kuomba umkope ata elfu hamsini nikawaida Sana. Sasa sijui wenzetu uwa wanakosea wapi?
Labda umefanya maendeleo ndo ukajiingiza kweny ulabu vinginevyp hilo halipo
 
Labda umefanya maendeleo ndo ukajiingiza kweny ulabu vinginevyp hilo halipo
Pole yako mm nimeanza kunywa pombe nikiwa darasa la saba. Ila kumbuka connection zote za maisha zinapatikana bar sasa wewe saa kumi kamili jioni umeishaingia ndani upo na mke na watoto, sijui upo kijiwe cha kahawa hzo dili utazipatia wapi?
 
Me naujua utamu wa wine tu.
Wambie wambie

Jamani pombe ni Chang'aa,gongo,kangala,pirimisi,wanzuki,nzera,ulanzi,mapuya.

Unaanzaje kuita pombe vinywaji kama st Anne, dompo, Serengeti light au image.
 
Kwanza acha dharau,pombe hainuki!kinachonuka chooni ni mkojo na sio pombe, wengi wasiokunywa pombe wanakuwaga ma snitch and witches.
 
Wambie wambie

Jamani pombe ni Chang'aa,gongo,kangala,pirimisi,wanzuki,nzera,ulanzi,mapuya.

Unaanzaje kuita pombe vinywaji kama st Anne, dompo, Serengeti light au image.
Nakazia... Wanatakiwa kuelewa aiseee na wajue kutofautisha kati ya kitambi na mimba
 
Habari wana JF! Kila siku huwa najiuliza starehe ya pombe ni pale unapokunywa au ni pale unakuwa chakalii mpaka wengine wanajinyea? Kwani starehe ya pombe hasa ni ipi maana kwa kweli walevi sometimes mnaboa mkienda chooni choo chote kinanuka pombe, mkipumua ndo kabisa utadhani gari la chibuku limepita.Najua humu kuna walevi wengi sana ndani sasa hebu niambieni starehe ya pombe ni Mapovu ruksa maana nimepiga jiwe gizani
sasa na wewe kwann unapumuliana na walevi kama huwapendi????
 
Back
Top Bottom