Halafu nasikia kuna pombe zingine ukitaka kunywa lazima kwanza ufunge kamba miguu ya suruali maana lazima unye uyajaze sasa starehe iko wapi hapo
Ni tofauti. Mfano mlevi wa gongo akilewa lazima apige makelele au kuimba wakati anarudi kwake, walevi wa beer, wine ni tofautiHalafu kuna tofauti gani mlevi wa chibuku na mlevi wa wine? Wote si walevi tu au kuna jipya
Pole yako mm nimeanza kunywa pombe nikiwa darasa la saba. Ila kumbuka connection zote za maisha zinapatikana bar sasa wewe saa kumi kamili jioni umeishaingia ndani upo na mke na watoto, sijui upo kijiwe cha kahawa hzo dili utazipatia wapi?
nilikua nawaza jinsi gani ya kuandika barua ya kuomba msamaha kwa rais.. nkajikuta nachanganya mafailiMwanri ni RC Tabora
Wanalewa lkn wanarudi nyumbani kimya kimya. Ingawa pia wapo wanaopiga kelele sema wanatofautianaWao wanafanyaje
Ha haaa jamani,huyo atakuwa aliwahi kunywa gongoMbona huyo jamaa aliekata gogo ukumbini alilewa beer au imekaaje hii.
Acha kulinganisha pombe na papuchi dingi.Papuchi imepitwa mbali sana.
Ungelinganisha na ngaja hapo sawa.


nakazia

