Swali kwa Walevi

Swali kwa Walevi

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana JF! Kila siku huwa najiuliza starehe ya pombe ni pale unapokunywa au ni pale unakuwa chakalii mpaka wengine wanajinyea? Kwani starehe ya pombe hasa ni ipi maana kwa kweli walevi sometimes mnaboa mkienda chooni choo chote kinanuka pombe, mkipumua ndo kabisa utadhani gari la chibuku limepita.Najua humu kuna walevi wengi sana ndani sasa hebu niambieni starehe ya pombe ni Mapovu ruksa maana nimepiga jiwe gizani
 
Halafu nasikia kuna pombe zingine ukitaka kunywa lazima kwanza ufunge kamba miguu ya suruali maana lazima unye uyajaze sasa starehe iko wapi hapo
 
Halafu kuna tofauti gani mlevi wa chibuku na mlevi wa wine? Wote si walevi tu au kuna jipya
 
Habari wana JF! Kila siku huwa najiuliza starehe ya pombe ni pale unapokunywa au ni pale unakuwa chakalii mpaka wengine wanajinyea? Kwani starehe ya pombe hasa ni ipi maana kwa kweli walevi sometimes mnaboa mkienda chooni choo chote kinanuka pombe, mkipumua ndo kabisa utadhani gari la chibuku limepita.Najua humu kuna walevi wengi sana ndani sasa hebu niambieni starehe ya pombe ni Mapovu ruksa maana nimepiga jiwe gizani
Kwa dharau hao jamaa watakupotezea mazima
 
Back
Top Bottom