Swali kwa wadada: Je ni wapi ungependa utoke kwa mara ya kwanza na mpenzi wako...?

mkuu Mwita Maranya na gfsonwin hakuna research rasmi ilofanyika kuhusu wanaume wa kitz, ila mabint wengi wanazungumza kutokana na experienc si wote wanatabia hzo ila wengi wako hivyo cwezi zungumzia wanaume wa mataifa mengine mfano wanzungu coz cna experienc nao na hawanivutii as a man!

Nadhani wengi wanaolalamika ni wale wanaopenda short cut kuruka ruka na kila mwanaume anayetupa kete, sasa wakiachwa wanaishia kulialia na kutoa statements za kugeneralise.
 
Tena mkimaliza lunch, mnapata vinywaji kama hivi, kabla ya kutoka.....

couple-flirting.jpg

aaaaah hatari sana hii Mtambuzi.....
Mtapiga storiiiiiiiiii....
Mtachekaaaa......
Halafua automatikale mtajikuta wote kimyaaaaaaa.........
Then suddenly mtajishtukia mko karibuuuuuuuuuuuuu zero distance.......
Mwanaume atachukua glasi zenu aweke mezani....dada ukikubali glasi itue mezani kosa kubwa..............
Utashtukia yupo kwa mdomo.....
Next mtakua mnabadilisha style tu....from makochini to kapetini from kapetini to juu ya meza mara doggy dooggy style ohoooooooooooo kwa fundi seremala ukija shtuka nywele zimetimka mbayaaaaaaaaaaaaaaa

loh loh loh

epuka videti vya homu
 
Last edited by a moderator:
Lala 1 umeniacha hoi...

Mtambuzi umenishtua na thread yako....eeh unataka mtoa mtu out?

Puliiiizi....God Forbid...
 
Yani ulivyotiririka kama nakuona vile ukibadilisha stylez, hahaha
kweli duniani kuna mambo
 
Wanawake wa kibongo kwa kupenda vya bure hamjambo!

Mimi miezi yote ya KUZUGA NI MWENDO WA PUBLIC PLACES TU!!!! Chezea kukopwa game!!!!! lol! Waswahili ukiwaambia twende sehemu game linawezekana kupigwa KWISHA HABARIII YAKO, Atalia hata chozi la damu umuonjeshe!!! Hahahaaa! Ukimnyima utasikia NAOMBA HATA NIONE TU AU KUSHIKA!!!! LOLEST! Hizo mbinu tuuuu! Yataka moyo.

Mwanzoni mimi NI KUZUNGUKA SEHEMU AMBAZO NIMEZISIKIA ILA SIJAWAHI KUFIKA AT HIS EXPENSES OFCOURSE!!! LOL! I must put the wallet on test!!!! HOW CRAZY CAN HE CHOP CHOP HIS HARD AND SWEATY EARNED MONEY FOR ME!!!! VERY UNKIND!!!! (JST AS UNKIND AS SIKU UNAKUWA REPLACED) LOLEST!!!
 
aaaaah hatari sana hii Mtambuzi.....
Mtapiga storiiiiiiiiii....
Mtachekaaaa......
Halafua automatikale mtajikuta wote kimyaaaaaaa.........
Then suddenly mtajishtukia mko karibuuuuuuuuuuuuu zero distance.......
Mwanaume atachukua glasi zenu aweke mezani....dada ukikubali glasi itue mezani kosa kubwa..............
Utashtukia yupo kwa mdomo.....
Next mtakua mnabadilisha style tu....from makochini to kapetini from kapetini to juu ya meza mara doggy dooggy style ohoooooooooooo kwa fundi seremala ukija shtuka nywele zimetimka mbayaaaaaaaaaaaaaaa

loh loh loh

epuka videti vya homu

Ai weweeee, yaani unavyoigilizia kama kweli vile...'
Unawatisha wenzio bana, kama mimi tutaishia kufanya kijuu juu na nguo zetu, I mean iwapo shetani atatupitia...LOL
 
Lala 1 umeniacha hoi...

Mtambuzi umenishtua na thread yako....eeh unataka mtoa mtu out?

Puliiiizi....God Forbid...

Niliulizwa swali hilo na mfanyakazi mwenzangu mdada ambaye huwa anapendaga kunitaka ushauri akitingwa na ndio maana nikawajia magwiji humu, lakini mmeharibu............LOL
Kwani kuna ubaya kumsaidia your colleague?
 
Kumbee

aaaaah hatari sana hii Mtambuzi.....
Mtapiga storiiiiiiiiii....
Mtachekaaaa......
Halafua automatikale mtajikuta wote kimyaaaaaaa.........
Then suddenly mtajishtukia mko karibuuuuuuuuuuuuu zero distance.......
Mwanaume atachukua glasi zenu aweke mezani....dada ukikubali glasi itue mezani kosa kubwa..............
Utashtukia yupo kwa mdomo.....
Next mtakua mnabadilisha style tu....from makochini to kapetini from kapetini to juu ya meza mara doggy dooggy style ohoooooooooooo kwa fundi seremala ukija shtuka nywele zimetimka mbayaaaaaaaaaaaaaaa

loh loh loh

epuka videti vya homu
 
Last edited by a moderator:
Huo uzi wa unaomhusu mange sijausoma, siku za nyuma niliwahi kumsoma mange kwenye blog yake nikaona ni ujinga mtupu nikaachana nae kwahiyo nikiona post inayomhusu siifungui, nasikia yeye ni kusifia wazungu tuuuu sijui ana allergy na waswahili.

Kwa sababu ukitazama kwa undani hayo maoni yake, utajiuliza swali je ametoka au amengonoka na wanaume wangapi wa kiswahili hadi afikie kusema hivyo?

kimsingi alishawah kutendwa na mswahili na hadi alimzalisha but najiuliza kama hampendi baba wa huyo mtoto je anaweza kupenda huyo mtoto kwan si atamkumbushia vidonda?

na ukiusoma uzi wake kuna baadhi ya akina dada waliwananga wakaka wa kibongo but they are my favorite among all races sasa sijui mie bado mshamba?
 
Sio mshamba, nadhani ndo busara yenyewe, if you are to face life boldly keeping the past out of spite,you 'll come to a conclusion that life is too short to fantasize than to live it!
 
Mi nadhani kinachowasumbua hao ni ulimbukeni tu wala hakuna kitu kingine. Wangapi wametendwa lakini wamepiga moyo konde na maisha yanaendelea vizuri kabisa. I can predict hata hao favorites wako watakuwa wamekutwa na misukosuko ya mapenzi na wakashindwa kuihandle sasa wameamua kuwa hivyo walivyo.

Kwa uzoefu wangu mdogo wadada wanaowaponda waswahili wenzao na kuwasifia wazungu ni malimbukeni wanaodhani kungonoka na mzungu ndio ujanja. Unakuta mdada mzuri umri kama miaka 20 hivi anachukuliwa na libabu la kizungu limechokaaaaaa hata sijui kama linaiweza shughuli lakini mdada anapita nae mbele yenu akiwa amebinua midomo.
 
Mi nadhani kinachowasumbua hao ni ulimbukeni tu wala hakuna kitu kingine. Wangapi wametendwa lakini wamepiga moyo konde na maisha yanaendelea vizuri kabisa. I can predict hata hao favorites wako watakuwa wamekutwa na misukosuko ya mapenzi na wakashindwa kuihandle sasa wameamua kuwa hivyo walivyo.

Kwa uzoefu wangu mdogo wadada wanaowaponda waswahili wenzao na kuwasifia wazungu ni malimbukeni wanaodhani kungonoka na mzungu ndio ujanja. Unakuta mdada mzuri umri kama miaka 20 hivi anachukuliwa na libabu la kizungu limechokaaaahaa hata sijui kama linaiweza shughuli lakini mdada anapita nae mbele yenu akiwa amebinua midomo.

khaaaa! leo nimegundua kwamba wakaka wanawivu sana wanaume wa kizungu kuwachukulia vidosho wao. poleni mwaya......
but tupo ambao bado tunawapenda tu hata kama hamna hela .............tunawapenda tu...............sura kama nyani tunawapenda tu......................source dudu baya
 
ngumi unaziweza mama?
 
Sio mshamba, nadhani ndo busara yenyewe, if you are to face life boldly keeping the past out of spite,you 'll come to a conclusion that life is too short to fantasize than to live it!
Baba V unajua kuna kitu ambacho hakieleweki hasa kwa mabinti sa siku hizi labda sisi ambao ni out dated sasa tunakimbilia 40+ tulikuzwa vibaya.

but uzuri ndoa ya mzungu na mdada wa kibingo hudumu zaid kuliko ya mbongo na mdada mzungu lol!
 
Last edited by a moderator:
ngumi unaziweza mama?

uzuri wa ngumi za wapenzi haziumiz lol!
jiulize zingekuwa zinaumiza kwa mateso alokuwa anapata bibi yako angestahimili na kuish miaka yote ndoani?

ama jiulize ubabae wa wababa wa enzi zile ilikuwaje mama zetu wakavumilia?
 
Back
Top Bottom