Swali kwa wadada: Je ni wapi ungependa utoke kwa mara ya kwanza na mpenzi wako...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wadada: Je ni wapi ungependa utoke kwa mara ya kwanza na mpenzi wako...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Oct 14, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Tuchukulie mmejuana kwa muda mrefu kidogo, labda tuseme kwa takriban miezi miwili hivi, lakini hamjawahi kuwa na mtoko, zaidi ya kukutana mara kwa mara katika mazingira yenu ya kazi.

  Je ni wapi ungependa uende kwa mtoko kwa mara ya kwanza na huyo mpenzi wako...?

  [​IMG]
  Je nyumbani kwa mpenzi wako.......


  [​IMG]
  Au kwenye mghahawa................?


  Hebu wadada fungukeni hapa.
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wanaume wa kibongo kwenda naye home kwake on day 1?big no! Mie ntapenda twende sehemu calm and comfortable ambako nitafeel nko safe yaweza kuwa mgahawan au hotelin even park bora pawe na mazingira ya utulivu kwa mazungumzo and havng sm drinks,icecream etc
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mimi miezi yote ya KUZUGA NI MWENDO WA PUBLIC PLACES TU!!!! Chezea kukopwa game!!!!! lol! Waswahili ukiwaambia twende sehemu game linawezekana kupigwa KWISHA HABARIII YAKO, Atalia hata chozi la damu umuonjeshe!!! Hahahaaa! Ukimnyima utasikia NAOMBA HATA NIONE TU AU KUSHIKA!!!! LOLEST! Hizo mbinu tuuuu! Yataka moyo.

  Mwanzoni mimi NI KUZUNGUKA SEHEMU AMBAZO NIMEZISIKIA ILA SIJAWAHI KUFIKA AT HIS EXPENSES OFCOURSE!!! LOL! I must put the wallet on test!!!! HOW CRAZY CAN HE CHOP CHOP HIS HARD AND SWEATY EARNED MONEY FOR ME!!!! VERY UNKIND!!!! (JST AS UNKIND AS SIKU UNAKUWA REPLACED) LOLEST!!!
   
 4. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Dada wewe dah!
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Jamani hayo mambo ya kulazimisha game yalikuwa zamani, wanaume wa Kibongo siku hizi tumeelimika kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo hilo la kulazimishwa game halipo tena...... uzungu kwa kwenda mbele....LOL
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Du! sijawahi kutumia hii trick ya blue, lazima nicopy na kupaste
   
 7. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  ndo mana mnaliwa viboga(MARINDA)
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wewe sasa unataka kuwapeperusha.......
   
 9. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Nyumbani kwake au kwangu, nimtengenezee brekfast ya nguvu, mazungumzo kwa sana, tupate lunch hapo hapo, then mida mida jioni ktk hotel tulivuuu, bites na kamvinyo light hivii na mambo mengine mengine. Yaani tu spend the whole day together home and away.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Una akili sana wewe.................
  wapi snowhite na Madam B ....?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Halazimishi wala habaki, anabembeleza tuuuu! Hapo kitu 90 degrees, nani atake kurudi home na blue balls!!! lol! Mtu anaomba hadi chozi linadondoka ( rohoni mweusiiii anajisemea ukiingia mkenge umekwishaaaa!!! lol!)mbinu tu hizo!!! Hahahaaaaa! Ukidanganyika BAAAAAAAAAAAAASS! Hakupigii simu tena, you made him beg for it!!! NYAMBAFUUUU ZAKO!!! LOL!
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  direct to the point yaani wanawake wote wangekuwa kama wewe kungekuwa hamna bwagana full kuspend mahela na kulana utamu
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Tena mkimaliza lunch, mnapata vinywaji kama hivi, kabla ya kutoka.....

  [​IMG]
   
 14. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Alah,, sasa hivi itabidi tubadiliishe mbinu sijui ipi itafaa. Ila hiyo ya lara 1 ndo koma
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  lara 1 usichangie tena hii mada maana unawatisha wenzio................LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  No problem coz only head will inter while tail outside, and abt phone as ussual only shortlisted will be contacted
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Thante Mtambuzi.

  Muhimu sana to make the day complete together. Hasa ratiba ya siku ikiwa km nilivyo sema, acha kabisa. Lazima ukae.

  Wamefanyaje tena snowhite na Madam B?
   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  shosti lara 1 umesema kwel tupu wanaume wa kibongo hupretend kuwa wapole and caring b4 kula mzigo, ukilogwa ukampa soon umeliwa macare yote kwishney hata phonecalls zinastop ,yan wao wanajal asal yako kuliko wewe mwenyewe so the best thng 2do ni kuwaweka pending!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Swadaktaaa. Km ulikuwepo.
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa binti....Yaani lazima aombe umchungulishe na akishaona, lazima ataomba kugusa walau kidogo...

  Nimekukubali kwamba wewe ni kichwa a.k.a jembe la MMU.....!!

  Bado yapo tena sana....Hebu chungulia huu uzi halafu utueleze!!

  UZI WENYEWE NI HUU HAPA

  Babu DC!!
   
Loading...