Swali kwa wadada: Je ni wapi ungependa utoke kwa mara ya kwanza na mpenzi wako...?

hata sielewi hapa nichague wapi.

Lakini nyumbani kwangu No, anayeletwa nyumbani ni mtu ambaye stage yake ni kubwa sana.

Wengine wote ni vichakani huko huko.

Mbona mnawasema vibaya wanamme wa kitz? They are my fav mbona? Nibadili mtazamo??

Mbona mie nimeshaenda kwa wawili tofauti ujanani, and nothing happened, hawakuwa normal?

Tena huyo mmoja tulipika na kupakua, ilikuwa nzuri, but hakuomba mchezo hata zaidi aliweka bayana feelings zake. Mnanichanganya kuwa hawapo ambao wana stamina hata ndogo, wapo hata kama ni wachache ila wapo.

but nilichogundua na sasa naanza kuwa na hofu juu ya nafasi ya mwanaume mtanzania kwenye mapenzi naona kabisa kwamba watu wanamuona kana kwamba ni mtu asiye ridhika wala kuwa na heshima na pia asiye weza kuhimili hisia zake.

to me wanaume wa kiafrika ni wazuri na wapo wanaoweza kuhimili hisia zao and well matured unless kama unakutana na vijianaume ambavyo ni vitoto. uuuuh!
 
Ha ha ha, mtambuzi hiyo syle niliifanyaga chuo hiyo mzumbeni, mdada kaja kunitembelea mgonjwa na kimini cha kufa mtu... Nilifosi na mzigo nilipata kibishi sana,,, as Mwanzo alikataa kata kata but akaja kuonesha ushirikiano wa kufa mtu baada baada ya kumtoa kufuli, na kwenye game nilipigwa mchaka mchaka kwa kukomolewa ili anichoshe zaidi as ( alishangaa mgonjwa kupona ghafla na kukomalia kidude),, halafu asubuhi akanuna tena...

Hatukuongea tena hadi tumekutana kwenye carrer assigment as mi nafanya external auditing ofisin kwao na ye ndo stock accountant hapo tukapiga sana story na baada ya days tukakumbushia for the second time bila ugomvi..

Mkata kiu game yako ILIKUWA TIGHT SANAAAA! SIJAJUA KAMA HUJASHUKA VIWANGO!!!! ILA ULITISHAAAAA! na hiyo mbinu ya mgonjwa simba!!! LOL! Hata UDSM watu waliliwa sanaaa pande za Hall 6 na Hall 4 kwa VIZITO!!!! LOL! Mimi Trick ya Mgonjwa simba nilikuwa na aikwepa kwa KUCHUKUA COMPANY, tena ya another male guy. Hahahahaaaaaa! MGONJWA ALISONYAJE KIMYA KIMYA! Haliwi mtu kirahisi rahisi. (Kiukweli chuo nilinusurika kuliwa mara 1, aiseeee ilikuwa very dangerous! Nikatafuta mtu wa kumbeba kuondoa vishawishi!!! LOL!)
 
Siku hizi siziwezi hizo, nimeshazeeka nimekuwa naishia kubembeleza tu akikataa basi, yaan hata sister du akija kwangu just nampikisha, tunachek movies, playing games then anasepa bila lolote,, naogopa sana wadada nowdays sipendi kuwafosi kitu.. B mkubwa alinipa maneno makali sana wakati naondoka home kujitegemea hadi nikaogopa...

But kusema kweli enzi hizo natoka high school hela za kuchezea kibao,, akili za kitoto nimetoka nazo boys school ( as shule yetu most of boys ni washenzi ukitoa wale scholarship) nilikuwa nikikuamulia nakupiga hata kwa kutumia pesa,, unajua ile ya kumtengea mdada anaejifanya mbishi fungu for the project unahakikisha hadi ela inaisha na yeye ameliwa.. Unamuweka mazingira tata tu.... But siku hizi kujitegemea maisha magumu hakuna hela ya mchezo, na umri umeenda tunafanya maisha sasa ujinga mda wake umeshapita
 
Mimi kama umekuja kwangu nikataka ile kitu ukikataa wala si lazimishi. tena we can sleep in the same bed nitaumia ila naweza kuvumilia. Coz naamini ile kitu inapaswa kuwa enjoyed to both sides.. Tena akianza kutaka mwanamke inanoga zaidi coz i like seen her enjoying it.
 
Inategemea mwanamke unataka nini, kama hujajiandaa kwa game basi ni bora mkakutana mgahawa tulivu au penginepo in public. Kitendo cha kuwa faragha iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke kinaweza kuleta hamasa ya lile tendo na huwa wenzetu hawa wanasubiria kwa hamu tena kipya kinyemi kukibanjua..he he
 
Mimi kama umekuja kwangu nikataka ile kitu ukikataa wala si lazimishi. tena we can sleep in the same bed nitaumia ila naweza kuvumilia. Coz naamini ile kitu inapaswa kuwa enjoyed to both sides.. Tena akianza kutaka mwanamke inanoga zaidi coz i like seen her enjoying it.

Mkuu kuna wengine hawakubaligi mpaka mpigane sarakasi, inakuwa hata kama amekubali mwenyewe lakini mpaka pazuke mbilinge ndio anavua. sasa ukikutana na mwanamke wa aina hiyo si atakuona mshamba?
kwani hujasikia habari ya chagulaga au niangusage, unadhani kumuangusaga inakuwaga kirahisi hivyo...... lazima pazuke kitimtim na yeye ndo ana enjoy.............
 
Siku hizi siziwezi hizo, nimeshazeeka nimekuwa naishia kubembeleza tu akikataa basi, yaan hata sister du akija kwangu just nampikisha, tunachek movies, playing games then anasepa bila lolote,, naogopa sana wadada nowdays sipendi kuwafosi kitu.. B mkubwa alinipa maneno makali sana wakati naondoka home kujitegemea hadi nikaogopa...

But kusema kweli enzi hizo natoka high school hela za kuchezea kibao,, akili za kitoto nimetoka nazo boys school ( as shule yetu most of boys ni washenzi ukitoa wale scholarship) nilikuwa nikikuamulia nakupiga hata kwa kutumia pesa,, unajua ile ya kumtengea mdada anaejifanya mbishi fungu for the project unahakikisha hadi ela inaisha na yeye ameliwa.. Unamuweka mazingira tata tu.... But siku hizi kujitegemea maisha magumu hakuna hela ya mchezo, na umri umeenda tunafanya maisha sasa ujinga mda wake umeshapita
napedna sana kijana akiwa anajitambua kiasi hiki!yani typical a kind man ningependa ningekuwa na mtoto wa kiume awe hivi,yani ushafanya ujana sana na sasa umeamua kutulia unajenga maisha!safi sana MKATA KIU .
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kusoma hii

but nilichogundua na sasa naanza kuwa na hofu juu ya nafasi ya mwanaume mtanzania kwenye mapenzi naona kabisa kwamba watu wanamuona kana kwamba ni mtu asiye ridhika wala kuwa na heshima na pia asiye weza kuhimili hisia zake.

to me wanaume wa kiafrika ni wazuri na wapo wanaoweza kuhimili hisia zao and well matured unless kama unakutana na vijianaume ambavyo ni vitoto. uuuuh!
 
Hahahahahahahaha
nimecheka sana! Illa wa namna hii wapo wengi.

Mkuu kuna wengine hawakubaligi mpaka mpigane sarakasi, inakuwa hata kama amekubali mwenyewe lakini mpaka pazuke mbilinge ndio anavua. sasa ukikutana na mwanamke wa aina hiyo si atakuona mshamba?
kwani hujasikia habari ya chagulaga au niangusage, unadhani kumuangusaga inakuwaga kirahisi hivyo...... lazima pazuke kitimtim na yeye ndo ana enjoy.............
 
but nilichogundua na sasa naanza kuwa na hofu juu ya nafasi ya mwanaume mtanzania kwenye mapenzi naona kabisa kwamba watu wanamuona kana kwamba ni mtu asiye ridhika wala kuwa na heshima na pia asiye weza kuhimili hisia zake.

to me wanaume wa kiafrika ni wazuri na wapo wanaoweza kuhimili hisia zao and well matured unless kama unakutana na vijianaume ambavyo ni vitoto. uuuuh!

Nitahitaji kuuona huo utafiti uliofanyika kuthibitisha kwamba hili linawahusu wanaume wa kitanzania tu. Labda tuambiwe na wakenya, waganda, wakongomani na wazungu wao wakoje. Kama utaweza kunishirikisha katika hili ntakushukuru gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
lara 1 we mtambo, hebu nipm namba yako ya simu nijaribu kupima uzito wa wallet yangu lol

Akuuuu! We CDM naogopa utaniomba muongozo wa kutumia hela, nikizidisha chopping utaniundia tume ya kunichunguza kama sihongi, Kila saaa utataka taarifa ya kila jambo, Nikikuacha utapeleka hoja binafsi kwa wazazi kupinga hela zako kuliwa na kuachwa!!! LOL!
 
Nitahitaji kuuona huo utafiti uliofanyika kuthibitisha kwamba hili linawahusu wanaume wa kitanzania tu. Labda tuambiwe na wakenya, waganda, wakongomani na wazungu wao wakoje. Kama utaweza kunishirikisha katika hili ntakushukuru gfsonwin
Mwita Maranya umeusoma uzi huu? na je uliusoma ule ulioanzishwa na kimnardish juu ya mange anavyowakandia wanaume wa kibongo? kiukweli nasikitika sana manake sion ubaya wao na kama wanamapungufu basi ni ya kibinadamu sana
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mwita Maranya na gfsonwin hakuna research rasmi ilofanyika kuhusu wanaume wa kitz, ila mabint wengi wanazungumza kutokana na experienc si wote wanatabia hzo ila wengi wako hivyo cwezi zungumzia wanaume wa mataifa mengine mfano wanzungu coz cna experienc nao na hawanivutii as a man!
 
Last edited by a moderator:
Akuuuu! We CDM naogopa utaniomba muongozo wa kutumia hela, nikizidisha chopping utaniundia tume ya kunichunguza kama sihongi, Kila saaa utataka taarifa ya kila jambo, Nikikuacha utapeleka hoja binafsi kwa wazazi kupinga hela zako kuliwa na kuachwa!!! LOL!

Hahahahaha wewe LARA1 wewe kweli huwezekani. Mbona unaninyanyapaa kwani kuwa CDM ni uhaini? basi ntahamia ccm kwa ajili yako. lol
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya umeusoma uzi huu? na je uliusoma ule ulioanzishwa na kimnardish juu ya mange anavyowakandia wanaume wa kibongo? kiukweli nasikitika sana manake sion ubaya wao na kama wanamapungufu basi ni ya kibinadamu sana

Huo uzi wa unaomhusu mange sijausoma, siku za nyuma niliwahi kumsoma mange kwenye blog yake nikaona ni ujinga mtupu nikaachana nae kwahiyo nikiona post inayomhusu siifungui, nasikia yeye ni kusifia wazungu tuuuu sijui ana allergy na waswahili.

Kwa sababu ukitazama kwa undani hayo maoni yake, utajiuliza swali je ametoka au amengonoka na wanaume wangapi wa kiswahili hadi afikie kusema hivyo?
 
Back
Top Bottom