wachambuzi wa siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hawa Wachambuzi wa Siasa za Kimataifa, wakiichambua USA unaweza ukajua inaanguka kesho. KUMBE!

    Hawa wachambuzi wako TikTok huko, wakianza kuichambua USA unaweza ukaamini uchumi wa USA ni dhaifu sana na soon mchina ana take over. Lakini hali ni tofauti kabisa. USA ni watu hatari linapokuja swala la maslahi yao. Wameanza na kumiliki mafuta ya Venezuela ambayo Mchina alikua akiyanunua...
  2. comrade_kipepe

    Wachambuzi na wabobezi wa mambo ya kivita wa JF hebu njooni mtupe nondo kuhusu kikosi hiki cha Jeshi la Marekani

    Uzuri wa JF kuna wataalamu wa kila aina hua nawaona sana wakiichambua vita za mashariki ya kati. Sasa leo nataka mnipe nondo zaidi kuhusu hichi kikosi kilichoenda kumnyakua maduro kama wanadaka panzi, hawa jamaa DELTA FORCE nasikia ni kikosi hatari sana duniani ndio waliomkamata OSAMA...
  3. Roving Journalist

    Wachambuzi wahofia uwezo wa Bunge la 12 kuwakilisha wananchi, tuzo kwa Rais Samia yazua mjadala

    Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii. Hayo...
  4. KakaKiiza

    Swali kwa wachambuzi wa siasa za maharibi!

    Tarehe 7 May Bunge la Umoja wa Ulaya litasimamisha bunge la kawaida kwa muda masaa 12 kujadili Tatizo Antipas Tundu Lisu kama mkutano wa dharula!Je hii inamadhara yoyote kwa Tanzania au wanaongea yanaisha na Maisha yanaendelea Tanzania?Na je kama kuna madhara ni madhara gani kiuchumi kisisa...
  5. BabaMorgan

    Wachambuzi wa Soka kuwa na mafanikio zaidi kuliko wachambuzi wa siasa

    Vipindi vya michezo vimekuwa vingi kwenye televisheni na radio licha ya kuwa vingi ni miongoni mwa vipindi vyenye muda mrefu; kwa makadirio vinachukua muda wa masaa mawili mpaka matatu kwa msingi huo usishangae kila kijiwe story zikiwa Simba na Yanga, Dewji na GSM, Ntibanzokiza na Mayele...
Back
Top Bottom