Kupitia taarifa ya habari ya ITV nimekusikia ukisema kuwa serikali ina pesa nyingi kwenye mashangingi, kwenye madini na kwenye "mafuta ya gesi" sasa swali langu nauliza hivi?
nini maana ya mafuta ya gesi? maana mie sijaelewa ati
au kama kuna aliyeelewa naomba anieleweshe maana mie naona nyota nyota tu hapa
wataalamu wa mambo ya mafuta na gesi mkuje huku mnielimishe
mafuta ya gesi=gas fuel Kwa taarifa yako kuna mafuta ya viminika (liquid fuel) pia na hata ya mafuta ya mbao (wood fuel)
Ujanja wa team mamvi wabane kwenye hoja :.zeeee!!
Ila sema matusi.
has many definitions cause fuel can be in many forms hapa suala ni jinsi ya matumizi ya Kiswahili. Sioni kama Lowassa kakosea maana hata kuni ni mafuta yaliyo kwenye ukavu wa mti najua inachanganya maana tumezoea mafuta ni vimiminika tu!Gas Oil is Diesel