Swali kwa Edward Lowassa, wataalamu wa mafuta na gesi: Nini maana ya neno "mafuta ya gesi"?

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,715
Kupitia taarifa ya habari ya ITV nimekusikia ukisema kuwa serikali ina pesa nyingi kwenye mashangingi, kwenye madini na kwenye "mafuta ya gesi" sasa swali langu nauliza hivi?

nini maana ya mafuta ya gesi? maana mie sijaelewa ati

au kama kuna aliyeelewa naomba anieleweshe maana mie naona nyota nyota tu hapa

wataalamu wa mambo ya mafuta na gesi mkuje huku mnielimishe
 
mafuta ya gesi=gas fuel Kwa taarifa yako kuna mafuta ya viminika (liquid fuel) pia na hata ya mafuta ya mbao (wood fuel)
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV nimekusikia ukisema kuwa serikali ina pesa nyingi kwenye mashangingi, kwenye madini na kwenye "mafuta ya gesi" sasa swali langu nauliza hivi?

nini maana ya mafuta ya gesi? maana mie sijaelewa ati

au kama kuna aliyeelewa naomba anieleweshe maana mie naona nyota nyota tu hapa

wataalamu wa mambo ya mafuta na gesi mkuje huku mnielimishe

Unashindwa kuzungumzia point ya msingi alozungumza unaleta Mambo ya kishogashoga hapa!
 
Na hata wazungu petrol station wao wanasema wanaenda kujaza gas. Sasa atakuja zumbukuku aulize kwahivyo lowassa ni mzungu
 
Hata mimi niliuliza sikuelewa hicho ni kitu gani. Labda kwa sababu Lowasa ni mtaalam aliebobea kwenye sanaa, labda anayajua vizuri
 
Hivyo tu ndo tusimchague?
Hata kama angesema mafuta ya tanzanite kwa makusudi kutuhujumu ukawa mi ningemchagua.
 
Unashindwa kuzungumzia point ya msingi alozungumza unaleta Mambo ya kishogashoga hapa!

Kwa hiyo point ya msingi haihusiani na mafuta ya gesi? Kama haihusiani kwa nini hilo neno limetamkwa
Tusifanye ushabiki! Sometimes tuwe ma utaifa kidogo
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV nimekusikia ukisema kuwa serikali ina pesa nyingi kwenye mashangingi, kwenye madini na kwenye "mafuta ya gesi" sasa swali langu nauliza hivi?

nini maana ya mafuta ya gesi? maana mie sijaelewa ati

au kama kuna aliyeelewa naomba anieleweshe maana mie naona nyota nyota tu hapa

wataalamu wa mambo ya mafuta na gesi mkuje huku mnielimishe

Tatizo lako ukisikia "mafuta" unataka lazima yawe "kimiminika".
 
Ukiwa kilaza huwezi kuelewa! Hapa watu wanajadili hoja na sio mambo ya chumbani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom