Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,464
Kwakuwa ACT ni chama chenu mlichoanzisha kwa fedha na utashi wenu, Je ni lini mlianza harakati za kuazisha chama hiki cha siasa? (maandalizi yalianza lini na mawazo yalianza?
Je mlitumia rasilimali kiasi gani za Chadema kwa siri kuanza kujenga mitandao ya chama chenu kipya?
Je waraka wa siri ulikuwa ni mkakati wa kudhoofisha CDM na kisha kukimbia na wanachama?
Je Pm7 ilikuwa ni moja ya malengo ya kuanzisha ACT?
Je ni nina wafadhili wa ACT?
Je CDM walikuwa sahihi kuwaita wasaliti?
Kama sio kwanini?
Ni haki na itakuwa sawa kutumia matamshi yenu na matendo kuwapima ndani ya ya ACT?
Nia yenu ya dhati ni hasa! madaraka, fedha, kutumika au kujenga demokrasia au vyote??
Je ni kweli kwamba lazima uwe msomi mzuri ndio uweze kupata aina yeyote ile ya uongozi?
Je ni kweli mmoja wenu akikosa madaraka ataanzisha chama chake ,mwenyewe?
Je ni kweli ni chama cha wote wanaofukuzwa na vyama vyao? kujiunga?
Je ni kweli hamtakuwa na katiba wala kanuni zinazobana maadili, miiko, weledi kwani siku zote katiba na kanuni zinanyima uhuru halisi wa binadinamu?
Je ni kweli kila mtu ataruhusiwa kuongea lolote kwa yeyote na wakati wote,( hakutakuwa na neno siri wala vikao vya siri)
Je ni kweli muda wa kampeni ni wakati wote na yeyote anaweza kumpindua kiongozi yeyote bila kufuata taratibu yeyote?
Je ni kweli yeyote anaweza kuanzisha chama chake akiwa bado mwanachama hai wa wa ACT?
Je ni kweli kiongozi yeyote wa ACT anaweza kudhoofisha nguvu za ACT kwa fedha za yeyote akona inafaa kama mwenye fedha atataka iwe hivyo?
Je ni kweli kiongozi wa ACT anaweza kuuza jimbo la uchaguzi kwa ccm kwa fedha ?