... kujumuika kwa amani; kujumuika kama sehemu ya haki za kikatiba za raia kunaathiri vipi uchumi? Sijaelewa!
... Hiyo ndio sababu iliyotolewa kuzuia mikusanyiko?Kila mpango mkakati una communication and visibility plan yake. Wananchi hawawezi kuisikiliza mipango ya serikali wakati kuna watu wanasema mipango hiyo sio kipaumbele namba moja kwa Taifa
Hivi ndugu zangu huko Tz, kulingana na mtoa mada,kumbe mlishatangaziwa hali ya hatari na labda hamkusikia............kazi kwelikweli.... Hiyo ndio sababu iliyotolewa kuzuia mikusanyiko?
Samia you apaswa kuwa msikivu kwa maoni ya jukwaa hili. Ameonywa kuwa anapaswa kusafisha nyumba yake kwa maana ya kuunda kaya yake mwenyeweNimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Utetez wa kipumbavu sana huu.Jinga sana wewNimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
... acha tu Mkuu. Ni vituko kweli kweli; hoja hamna tena ni vioja na maguvu!Hivi ndugu zangu huko Tz, kulingana na mtoa mada,kumbe mlishatangaziwa hali ya hatari na labda hamkusikia............kazi kwelikweli.
.
Wewe ni mama?Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Sasa mbona hajawakataza wote.bona ccm na wanamichezo wanaendelea kujumuka na kuwa na mikutano. Hilo nalo ni uvunjifu wa amanin ki makundi. Au chadema ndo wanaopaswa kukayazwa peke yao ila wengine waendelee.Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
hiyo kaya au serikali yake aiunde kutoka wapi?Samia you apaswa kuwa msikivu kwa maoni ya jukwaa hili. Ameonywa kuwa anapaswa kusafisha nyumba yake kwa maana ya kuunda kaya yake mwenyewe
Sasa mbona hajawakataza wote.bona ccm na wanamichezo wanaendelea kujumuka na kuwa na mikutano. Hilo nalo ni uvunjifu wa amanin ki makundi. Au chadema ndo wanaopaswa kukayazwa peke yao ila wengine waendelee.
Wewe ni mama?
Kama ni mama kweli nawasikitikia wanao.
Mbowe anatuhumiwa kukusanyika au anatuhumiwa kwa ugaidi?
Haya kama anatuhumiwa kukusanyika hilo katazo linawahusu wapinzani tu ila CCM haliwahusi?
Una akili fupi sana.