SWALI KWA BOYS wa kichagga

SWALI KWA BOYS wa kichagga

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,661
Reaction score
9,968
Je unaweza kumpigia magoti hivi
mpenzi wako??

1507123_450570175066522_685836485_n.jpg
 
kama wachaga wameweza kujipiga risasi kwa nini washindwe kufanya hivi.
 
Wachagga wana Bahati mbaya sana, kisa kwa kuwa wao waliona maendeleo Siku nyingi. Usiogope kujifunza yaliyo mazuri.
 
kwanini wachaga tu?

Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.

Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....

Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..

Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)

Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....
 
Mh....
Cc: Asprin
 
Last edited by a moderator:
Mnapiga magoti mkiwa chumbani, acheni kuvunga hapa. Nani alipropose bila goti hapa? Kweli jf haipaswi kuchukuliwa serious.
 
Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.

Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....

Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..

Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)

Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....

pesa ndo kipaumbele chao siyo mapenzi!
 
Back
Top Bottom