Swali kuhusu Jumia na Kikuu (E-Commerce sites)

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali langu ni kuwa... hizi kampuni zinafanya hichi kitu wenyewe au kuna kampuni (courier) wanaowapa bidhaa then wanakuletea. Na pia kwa mkoani wanatumia hizi kampuni pia au wanatumaje. Kwa kifupi hii process nzima ya kuletewa mzigo na kuwalipa ukishapa mzigo inafanyaje kazi? Shukran!
 
Mzigo ukifika unapigiwa simu wanakuletea wenyewe mpaka mlangoni kwako
 
Ahsante ndugu Shunie kwa jibu lako, kwahiyo wakikupigia na ukawaeleza unapoishi ni watu hao hao wa Jumia ndio wanakuleta mzigo na sio hizi kampuni za courier hapa Dar wanaokuja kukupa mzigo wako? Na je, unafahamu inakuaje mikoani wasipo kuwa na ofisi rasmi?
 
Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali langu ni kuwa... hizi kampuni zinafanya hichi kitu wenyewe au kuna kampuni (courier) wanaowapa bidhaa then wanakuletea. Na pia kwa mkoani wanatumia hizi kampuni pia au wanatumaje. Kwa kifupi hii process nzima ya kuletewa mzigo na kuwalipa ukishapa mzigo inafanyaje kazi? Shukran!
Kama kikuu ni dar tu ndio wanafanya delivery sijajua jumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante ndugu Shunie kwa jibu lako, kwahiyo wakikupigia na ukawaeleza unapoishi ni watu hao hao wa Jumia ndio wanakuleta mzigo na sio hizi kampuni za courier hapa Dar wanaokuja kukupa mzigo wako? Na je, unafahamu inakuaje mikoani wasipo kuwa na ofisi rasmi?
Kuhusu mkoani sifahamu mm naongelea dar na kote nimeshanunua bidhaa kikuu na jumia ili wajue unapokaa ukijirejister kwenye app yao lazima ujaze na sehemu unapoishi na no yako ya simu ndio mana mzigo ukifika wanakupigia wanataka kukuletea je upo nyumbani wanakuuliza mkuu.

Kikuu unalipa kwanza kabla mzigo haujakufikia, na jumia wana opt 2 unaweza kulipa kwanza au ukalipa mzigo ukikufikia.
 
Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali langu ni kuwa... hizi kampuni zinafanya hichi kitu wenyewe au kuna kampuni (courier) wanaowapa bidhaa then wanakuletea. Na pia kwa mkoani wanatumia hizi kampuni pia au wanatumaje. Kwa kifupi hii process nzima ya kuletewa mzigo na kuwalipa ukishapa mzigo inafanyaje kazi? Shukran!
Kiukweli jumia wapo vizuri sana juzi wameniletea simu home na iko poa tu nikawalipa Kash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante ndugu Shunie kwa jibu lako, kwahiyo wakikupigia na ukawaeleza unapoishi ni watu hao hao wa Jumia ndio wanakuleta mzigo na sio hizi kampuni za courier hapa Dar wanaokuja kukupa mzigo wako? Na je, unafahamu inakuaje mikoani wasipo kuwa na ofisi rasmi?
Ndio mkuu ni watu hao hao wa jumia, atleast kwa misosi nimewahi kuagizia nikaona.
 
nimeshaagiza mara kadhaa bidhaa kutoka jumia kuja Arusha, wanatumia courier kama vile ups na wanakuletea hado ulipo kwa bodaboda zao baada ya kukupigia simu na kukubali kulipa kiasi husika.
 
Mimi pia nimeagiza bidhaa mara kadhaa kutoka Jumia kuja arusha,kuna kijana wao anaitwa Ismail ndiye wakala wao hapa,na anakuletea mzigo wako ulipo,mara chache atakuomba kama amebanwa ukachukue mzigo wako pale zinapopaki Dar express juu kidogo ya stand ndogo,ila siku hizi App yao inazingua hasa pale kwenye BUY NOW unaweza ku click na isi function!,ikiwa hivyo huwa nawapigia simu direct na tunafanya biashara! Hivyo yani!
 
Utapeli nwingi hakuna lolote ..nimenunua HDMI to vga adapter imezingua nimetaka kuwarudishia wananipiga kiswahili
 
one month na sikuu kaza toka mzigo ununuliwe yaan kwenye estimation ya kudeliver wana error ya siku 15
1686654
 
Back
Top Bottom