Swali kuhusu internet package ya Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kuhusu internet package ya Airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GAMBLER, Feb 28, 2011.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau
  Mimi nilikuwa natumia zantel siku za nyuma ambapo mtandao wao ulikuwa hausumbui, walikuwa wananipa 2GB kwa alfu kumi kwa wiki moja,Toka umeanza kusumbua nikahamia airtel ambapo wananipa 3Gb kwa alf 15 kwa wiki, sasa swali langu ni kuwa hii 3GB inaisha kabla ya wiki na wakati natumia zantel 2GB yao ilikuwa haishi ndani ya wiki na matumizi yangu ni yako sawa tu, naomba ujuzi wenu wadau
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kusema kweli mi airtel niliona wananizingua tu mda mrefu..nikarudi zangu zantel..saiz maisha safi..
   
 3. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hi ni kweli kabisa AIRTEL wana some elements za cyber theft on data bundles. Nimeshawahi kuweka MB 400 mara nyingi sana ila nmekua na2mia siku 2 alafu naambiwa imeisha kabisa wakati speed nliyokuwa na2mia ni EDGE.. Airtel waache wizi wa hata Mb 20 znazoisha ndani ya lisaa l1 ukiwa na speed ya EDGE na nusu saa ukiwa una2mia 3G
   
 4. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Cheki nao ila ki-ukweli Airtel ni wazuri tu, mimi ninatumia 400MB lakini mpaka ninaridhika zinavyoisha tofauti na zantel, kwa sasa Zantel ndio hawafai kabisa hawana urafiki na mteja, hivyo bundle ya 2GB unakuwa forced kununua kwa TZS. 15,000.0 na ikiisha kabla ni matatizo makubwa, lakini Airtel unaongeza kadri uwezavyo hakuna cha vigezo kuzingatiwa wala nini.
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Airtel ni wezi tu... Nimechukua package yao ya 400MB nimedownload file lenye ukubwa wa 37 na kusurf kidogo, nilipocheck balance kuta zimebaki 307mb ikimaanisha nimetumie 93mb kitu ambacho siyo kweli...
   
 6. T

  Taso JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,647
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  vipi kama windows update na ma application mengine kama anti-virus na ma cookies yana download na ku update definitions nyuma nyuma huko bila wewe kujua.

  Halafu ku surf kidogo ndio kipimo gani, uki surf u-tube au site lenye mi picha mirefu dakika tano tu itakula kwako big time. Point is, it's difficult to quantify the bandwidth downloaded by just keeping track of time spent on the net.

  In my experience Airtel ya 400MB kwangu inakaa at least wiki nzima, na kwa 2,500/= siwezi kulalamika, haswa ukilinganisha na alternatives zilizopo.
   
 7. K

  K007 Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu wakati mwingine linatokea tatizo la kimtandao, kuna siku niliingiza kama 10,000 hv kwa kununua zile 400MB ambazo ni shilingi 2,500 sababu kila nikiweka natumia kidogo naambiwa hela imeisha, lakini baada ya siku kama 3 hv nilipokea sms kutoka Airtel wakiomba radhi kwa tatizo la kimtandao kwahiyo waliniwekea MB zenye gharama ya pesa niliyokuwa nikiweka.

  Lakini kwa sasa nimehama kabisa AIRTEL nimeingia VODACOM ambapo nanunua bundle ya UNLIMITED siku 7 kwa 10,000 au bundle ya UNLIMITED mwezi mmoja kwa 30,000. Na-download hadi movies bila shida! Jaribu INTERNET YA VODACOM mkuu.
   
 8. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu ukicheck kwenye hiyo Modem yako hapokwenye menus, ya options then statistics itakuonyesha kiasi cha MB ulizotumia......hapo unaweza kulinganisha kama hesabu zao na hesabu za computer yako ziko sawa
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu window update ziko off,antivirus na update officen , hakuna software inayoji update yenyewe, nilipo sema kusurf kidogo nilicheck mail kama dakika 10 hivi....

  Naona kuna mdau amesema anapata unlimited kwa vodacom so ngoja nicheck nao nijisogeze pande hizo.
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba ufafanuzi kwenye hayo maandishi niliyo ya bold....mbona sijawahi kusikia voda wanatoa unlimit kwa tsh 10,000? naomba unieleze namna ya kujiunga na hiyo huduma tafadhali.
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu sasa nimekubata.... Ila speed ya 64kbps ni ndogo sana.

   
 12. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hiyo speed ya 64kbps ni sawa na kasi ya kobe.
  Bora niendelee kula 400mb za airtel kwa 2500 na speed ikofresh tu.
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, Airtel ndio kiboko yao, jana usiku nilikuwa napata speed ya 2Mbps .
   
 14. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vipi kuhusu TTCL wadau? mbona hata na wao wana Banjuka inakuwa unlimited kwa kulipia muda ambao utakua una-surf online na siyo kulipia data? speed yao ikoje??
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ina maana wanakucharge kwa saa? Kama ni ndiyo basi hiyo siyo unlimited.

  Nasikia speed yao kwa sasa ni nzuri na wamepunguza gharama, maana walikimbiwa sana na wateja.
   
 16. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  @mnganyizi: yep! inaitwa BANJUKA. kuanzia saa 3 - 12 asubuhi nia Tsh 500/hour Unlimited na muda wa asubuhi mpaka saa 12 jion ni Tsh 1000/hour na kuanzia saa 12 jion - 3 usiku ni Tsh 800/hour. Speed yao ni nzuri caz wameunganisha na Optic Fibre so kunakua hakuna satellite interference. 3.1-3.5MBPS
   
 17. C

  Chief JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,488
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nikitaka kupata 400mb za airtel kwa 2,500 nifanyeje? Nimewapigia customer service, hata hawapokei simu na website yao haionyeshi bundle rates
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Andika neno internet na tuma 15444 na utajibiwa kuwa unataka kununua 400 MB kwa 2,500.00. Itakubidi ujibu ndiyo. Baada ya hapo kula bata, mambo yote Airtell. Speed ya uhakika gharama nafuu.
   
 19. C

  Chief JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,488
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana.
   
 20. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  TTCL is the best kati ya hao MAFISADI WOOOTE. Wizi mtupu!
   
Loading...