Swali kuhusu internet package ya Airtel

Mkuu hii 400MB ina limitation gani kwenye muda wa matumizi? Inatakiwa itumike katika muda gani, mm nina modem ya Airtel ila napata shida sana na hizi package zao za siku & wiki!

Package ya 400mb inatakiwa kutumika ndani ya siku 30, ikiisha kabla unaweza kuongeza nyingine, pia kama matumizi yako ya mtandao siyo makubwa unaweza kutumia mwezi mzima.
 
jamani vodacom natumia muda murefu sana zaidi ya miezi sita ttcl ndio wazuri kuliko wote mitandao mingine wizi mtupu hasa voda, ukijiunga hawakujibu au wanakujibu baada ya masaa sita hivyo tuwaambie wache kutuibia, wenye kutaka kuchakachua vodafone, tigo najua njia
 
Back
Top Bottom