Tatizo wana JF mnapost mada isiyokuwa na chanzo cha habari (source). Huyo Boss mpya wa TPDC ni nani? Mimi namjua Yona Kilighane kama ameingia Mzungu tueleze mtoa mada.
Ni kweli LNG plant ni zaidi 20 billion US $, STATOIL na BG ndio watatoa hiyo pesa, sawa na bajeti nzima ya Tz kwa 2.5 years. Prof Muhongo alivyokuwa anasema haitaji madalali alikuwa anamaanisha, sema Tz kuna ma nyumbu wengi wakadakia hata wasivyovijuaWatu wanapost vitu vınavyowajia vichwanı mwao wala hawajali.Dola bil 25,labda alimaanisha dola ya Zimbabwe au Angola.
Watu wanapost vitu vınavyowajia vichwanı mwao wala hawajali.Dola bil 25,labda alimaanisha dola ya Zimbabwe au Angola.
Hivi huyu jamaa analipwa mshahara kiasi gani?
Na inawezekana vipi akawa anatumia milioni 70 za walipa kodi kila mwezi kwenda kutazama familia yake USA na kurudi?
Kwa nini anatumia muda mrefu zaidi USA kuliko ofisini kwake?
Cha ajabu toka apewe hiyo kazi hakuna lolote la maana alilolifanya mradi wa mtambo wa LNG wa dola bilioni 25 na ushee huko Mtwara ushakwama kwa sababu watu wamekula pesa za viwanja na kesi za ajabu ajabu zimefunguliwa. Mbaya zaidi huyu jamaa amebatizwa jina pale ofisini kwake wanamwita CAPTAIN AMERICA na wengine wanamwita MSAFIRI. Hivi haoni wenzake kama bosi mpya wa TCRA wanavyofanya kazi?
Halafu magufuli ana tafuta wachawi wakati wapo wazi wazi.

Kumbe ni majungu at work...kwi kwi kwi...
wenzenu walipokuwa wanabukuwa nyie mlikuwa wapi?
Mpeni muda aonyeshe uwezo wake. Kwa mchechu mlianza hivi hivi, lakini leo NHC ndilo shirika la umma tajiri kupindukia. Mpeni muda huyu kijana.
Hivi una uhakika ni hicho kiasi cha pesa ulichoandika? USD 25 billions? Unajua mradi wa kujenga reli Standard Gauge kwa kilometer 2,500 ni USD 7 billions? Hiyo LNG plant tu ndio iwe USD 25 billions? Kweli?