Swali kuhusiana na ubora wa magodoro

Swali kuhusiana na ubora wa magodoro

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,040
Reaction score
2,009
Nawasalimia ndugu zanguni, ninataka kumnunulia ndugu yangu godoro la nchi 6 ambalo ni tano kwa sita. Sasa nimepewa orodha ya magodoro haya: Dodoma, Killform ,Confii kwamba kidogo yanadumu. Swali langu ni je kati hayo ni godoro lipi ukinunua kidogo litadumu muda mrefu?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Huyu ninae mnunulia uzito wake awezi kuzidi kg 65.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Chukua Dodoma Asilia, kumbuka Dodoma ziko mbili kutokana na mfarakano baada ya kuungua kiwanda cha Dodoma.
Kwenye matumizi ya godoro kila mara ligeuze kwa mzunguko, usilalie sehemu moja kwa muda mtefu.
Mwisho bonyeza godoro ukiona halirudi haraka halifai, sponji nzuri ni ile iliyo kama mkate ulioiva vizuri kama ile ya Shoprite au Siha.
 
Ni kweli maana kuna magodoro mengine ni magumu kama ubao...
 
Nawasalimia ndugu zanguni,ninataka kumnunulia ndugu yangu godoro la nchi 6 ambalo ni tano kwa sita.Sasa nimepewa orodha ya magodoro haya : Dodoma,Killform ,Confii kwamba kidogo yanadumu.Swali langu ni je kati hayo ni godoro lipi ukinunua kidogo litadum mda mrefu ?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Nunua Tanform hakuna godoro unaweza kulinganisha na hayo ya Dar, huwezi kujuta utanikumbuka.
 
Nawasalimia ndugu zanguni,ninataka kumnunulia ndugu yangu godoro la nchi 6 ambalo ni tano kwa sita.Sasa nimepewa orodha ya magodoro haya : Dodoma,Killform ,Confii kwamba kidogo yanadumu.Swali langu ni je kati hayo ni godoro lipi ukinunua kidogo litadum mda mrefu ?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hayo yote unahangaikam tu! Ni lugha za kibiashara. Kama mfuko wako unakuruhusu, nunua godoro aina ya orthopedic. Uliza Comfy orthopedic. Ila jiandae, kutegemea na upana hilo siyo chini ya laki 7 ...........
 
Chukua Dodoma Asilia, kumbuka Dodoma ziko mbili kutokana na mfarakano baada ya kuungua kiwanda cha Dodoma.
Kwenye matumizi ya godoro kila mara ligeuze kwa mzunguko, usilalie sehemu moja kwa muda mtefu.
Mwisho bonyeza godoro ukiona halirudi haraka halifai, sponji nzuri ni ile iliyo kama mkate ulioiva vizuri kama ile ya Shoprite au Siha.
Uko njema kwa Promo..umepiga mpaka Mikate na inapopatikana
 
Back
Top Bottom