Walishagatoa siku nyingi na kuongeza mda hadi trh 11 mwez huu!Wakuu habarini za asubuhi, kuna tatizo kidogo limejitokeza ,ni kwamba nimeapply mkopo ila nilifanya makosa na kutuma cheti cha kuzaliwa bila kuwa verified na RITA,sasa swali langu ni je awamu hii watatoa nafasi tena ya kufanya marekebisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa naona..mimi sio fresher..ni continuous, kwa awamu zilizopita baada ya watu kuapply huwa bodi inatoa majina ya watu waliokosea aidha kuambatanisha nyaraka and the like..huu ni muda umeongezwa kwakuwa bado watu wengi hawakua wamemaliza.