Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

jogijo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
260
Reaction score
500
Habari wadau,

Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi?

Karibu mnijuze.
 
Nchi ya ajabu sana hii.

Kama wanakatwa kodi basi ni kidogo sana.

Ngoja wenye data watiririke.
 
Nchi ya ajabu sana hii.

Kama wanakatwa kodi basi ni kidogo sana.

Ngoja wenye data watiririke.
Inakasirisha sana. That's why wakishiba wanatutapikia
 
Hivi wabunge wanalipa kodi asilimia ngapi ya mishahara na posho zao?
 
Habari wadau,

Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi?

Karibu mnijuze.
Kwa sababu unamwita Mheshimiwa.
Na wewe anakuita mnyonge na ndio mtaji wake.
 
Back
Top Bottom