Swali: Hivi ni kweli?

Swali: Hivi ni kweli?

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,501
Mwanaume akiflirt kuna uwezekano mkubwa akaenda all the way; ila mwanamke akiflirt she is most of the time not serious. Riwa nafikiri hii inafanana na swali lako la SMS kwenye simu ya mwanaume na ya mwanamke. (I thought it is worth a thread)

Ufafanuzi kidogo
Mfano mimi naflirt na mwanaume, au hata najiongozesha. Akiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.

Lakini mwanamume akiflirt na mimi, mimi nikiridhia je naye anauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hakuwa serious? Au itabidi anigegede ili nisiseme sio mzima au ana kibamia au anything? I mean man's ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na yeye kumtolea nje?
 
Mwanaume akiflirt kuna uwezekano mkubwa akaenda all the way; ila mwanamke akiflirt she is most of the time not serious. Riwa nafikiri hii inafanana na swali lako la SMS kwenye simu ya mwanaume na ya mwanamke. (I thought it is worth a thread)
"akaenda all the way", umekusudia kusema nini? I hope huyo "mwanamke" siye ambaye ana flirt na huyo "mwanaume"! It takes two to tangle, doesn't it?
 
"akaenda all the way", umekusudia kusema nini? I hope huyo "mwanamke" siye ambaye ana flirt na huyo "mwanaume"! It takes two to tangle, doesn't it?

Mfano mimi naflirt na wewe, au hata najiongozesha. Ukiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.

Lakini wewe ukiflirt na mimi, mimi nikiridhia je nawe unauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hukuwa serious? Au itabidi unigegede ili nisiseme wewe sio mzima au una kibamia au anything? I mean your ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na wewe kumtolea nje?
 
Sio flirt zote zinaishia kitandani kwa jinsia zote
Kwani wanamme wakiflirt na kuishia kitandani wanaflirt na akina nani? si wanawake hawahawa?

So ni kwa wote tu

Ngoja nijaribu kuqoute message ya Riwa huenda ikawa imejieleza vyema kuliko mimi. I will be back.

Kaunga ...are you trying to say that..ungekuta msga kama hiyo kwenye simu ya shemeji 'husingemind kiviiile'?

One thing I have noticed kwenye mahusino ni kuwa...mwanaume akibambwa with such msgs..he is cheating! Hata asemeje haaminiki, hata kama mdada atasemehe atakuwa amesamehe huku akimini mpenzie kacheat. BUT...mwanamke akibambwa na similar msgs...basi sio ushahidi tosha, kuna explaination behind it...!!!???

You are right hapo kwenye bold, na sijui ni kwanini. Imagine the way ninavyotaniana na kuflirt na watu humu ndani, ninajiamini lakini nikiona hata robo ninayoyaandika mimi kaandika mtu wangu kwa mdada tayari napata wasiwasi na simuamini amini sijui kwa nini? Is it because inaaminika kuwa mwanaume kushinda vishawishi ni ngumu kuliko sisi; je mdada akiflirt halafu akakutokezea wazi can you be able to say NO maana sisi wanawake kusema no ni rahisi na hatutadhaniwa kuwa tuko weak au hatuko wazima kama ninyi?
 
Hapo sasa dada Kaunga nimeanza kukusoma nilikuwa sijaelewa mwazoni.ngoja nifikirie kidogo.
Mfano mimi naflirt na wewe, au hata najiongozesha. Ukiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.

Lakini wewe ukiflirt na mimi, mimi nikiridhia je nawe unauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hukuwa serious? Au itabidi unigegede ili nisiseme wewe sio mzima au una kibamia au anything? I mean your ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na wewe kumtolea nje?
 
Last edited by a moderator:
kutoishia kitandani si akili za mwanamke...mwanaume akiflirt mwanamke akimlegezea tu ataombwa mchezo....chezeya wanaume....

Sio flirt zote zinaishia kitandani kwa jinsia zote
Kwani wanamme wakiflirt na kuishia kitandani wanaflirt na akina nani? si wanawake hawahawa?

So ni kwa wote tu
 
Back
Top Bottom