Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
Nitalia kwa sauti kuu!!!
Maana PARAPANDA itakuwa imeshalia na wateule wamenyakuliwa!!!
Maana PARAPANDA itakuwa imeshalia na wateule wamenyakuliwa!!!
Nitalia kwa sauti kuu!!!
Maana PARAPANDA itakuwa imeshalia na wateule wamenyakuliwa!!!
Mkuu Red Scorpion, kuna uwezekano mkubwa (bila kujijua) utakuwa uko nje unachungulia ndani.
Ntaona nini ndo nijue nje hakupo?
Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????