Swali Gumu nililowahi kuulizwa na mwanangu

sijui jinsi y kumjibu mtoto, lakini nadhani paka mating rates zao ni ndogo na wakiwa kwenye heat hawawi monitored.
 
Kwa nini tusimwambie huyo mtoto twende naye tukafanye sensa ya nyau wote tuone kama yuko sahihi??

Babu DC!!
 
Wa kwangu aliniuliza kama hilo akinihoji kwa nini simba ni wachache zaidi wakati wanawalawa wanyama wengine wakati nao hawaliwi na wanyama wengine?Nilishindwa kumjibu.
 
Paka ni wengi ila hawaonekani kwa sababu ya udogo wa umbo lao ukilinganisha na ng'ombe
 
Hivi ni kwanini Paka sio wengi kama Ng'ombe au Mbuzi wakati hawaliwi wala kuuawa na wanazaliana tu kila kukicha tena uzao wao ni wa mkupuo? Tazama jinsi ng'ombe wanavyochinjwa kila kukicha na uzao wao ni mmoja mmoja lakini wako wengi sana.

Wana ecology tunaomba majibu na ukiweza tupia swala ulowahi kushindwa kumjibu mtoto/mwanao

Mkuu kama umemaliza walau form four inatakiwa uwe na jibu. HINT: Hamkusoma mambo ya food chain na lile pyramid ambalo chini unaanza na mimea halafu katikati wanakuja wala majani halafu juu ndio kuna wala nyama? Kanuni za ku-pass energy from one stage to another! Anayway kama umesahau google utapata na kamwe huhitaji wana ecology kukufundisha kitu basic kama hiki.
 
Kweli swali gumu sana; kwani simba na other cats uzazi wao ukoje?
Herbivores wanazaliwa wengi na kukua wengi kuliko carnivores, swala la food chain linahusika l think. Tuwasubili ma-ecologists waje na majibu ya kuridhisha.

mwalimu gfsonwin njoo utuambie kwenye food chIn nyau ana nafasi gani?

kwenye food chain herbivores wanazaliwa wengi zaid kuliko carnivores. hali huwa mbaya zaid kwa wale carnivores ambao wako wild. omnivores wao wako intermidiate. mara nyingi sana ecosystem huwa ina grow kwa pyramid shape as inaepuka ku exoushoust the lower energy givers.

kwa namna ya kawaida kabisa kama ukigeuza ecosystem ukawa upside down basi tunategemea wale top carnivores washindwe kuwepo as watakosa sources of food.

ingawa hernbivores ni wengi8 but also energy available kwao ni nyingi zaid kuliko ambayo iko kwa top carnivores for that matter hii inachangia uchache wao pia.
 
Mtoto wangu bint wa miaka mitatu anauliza
Kuna fathercat na mothercat ila atajuaje yupi ni yupi?
Kwake yeye viumbe hawa si wengi ila anaamini ni haohao na akimuona wa rangi nyingine ina maana amebadili nguo
Anauliza,ameivuaje?

hahahahaah
 
Hivi ni kwanini Paka sio wengi kama Ng'ombe au Mbuzi wakati hawaliwi wala kuuawa na wanazaliana tu kila kukicha tena uzao wao ni wa mkupuo? Tazama jinsi ng'ombe wanavyochinjwa kila kukicha na uzao wao ni mmoja mmoja lakini wako wengi sana.

Wana ecology tunaomba majibu na ukiweza tupia swala ulowahi kushindwa kumjibu mtoto/mwanao

Paka na Mbwa wanaliwa sana kuliko ng'ombe na mbuzi, kwani, Ni rahisi kuwapata kwa gharama sifuri, na wanaliwa na watu wa mjini zaidi bila kujitambua, mishikaki, roast n.k
 
kwenye food chain herbivores wanazaliwa wengi zaid kuliko carnivores. hali huwa mbaya zaid kwa wale carnivores ambao wako wild. omnivores wao wako intermidiate. mara nyingi sana ecosystem huwa ina grow kwa pyramid shape as inaepuka ku exoushoust the lower energy givers.

kwa namna ya kawaida kabisa kama ukigeuza ecosystem ukawa upside down basi tunategemea wale top carnivores washindwe kuwepo as watakosa sources of food.

ingawa hernbivores ni wengi8 but also energy available kwao ni nyingi zaid kuliko ambayo iko kwa top carnivores for that matter hii inachangia uchache wao pia.

Take 5 my fellow ticha.
 
Nianze kwa kusema kwamba sijaweza kuthibitisha kama ngombe ni wengi kuliko paka kwa kuwa sijaona utafiti wanamna hiyo!
Lakini kama hivyo ndivyo haishangazi kutokana na kanuni za ki-ikolojia kama ifuatavyo:
1. Wanyama wenye maumbo madogo hukua na kupevuka kwa haraka, vile vile huishi kwa muda mfupi ukilinganisha na wale wenye maumbo makubwa, with few exceptions - based on r and k strategies.
2. Wanyama wanaokula majani huishi muda mrefu na huwa wengi ukilinganisha na wale wanaokula nyama - based on niche and enegy level concept.
3. Wanyama wanapofugwa hupoteza mbinu na uwezo wao wakuishi porini. Kwa kuwa watu wengi huwa hawapendi kufuga paka zaidi ya mmoja, wanapozaliana hufukuzwa au hulazimika kuondoka kwa kukosa chakula...kwa kuwa hawana uwezo mzuri wa kuweza ku'survive' porini wengi wao hufa na wachacha huweza kuishi na kuwa paka pori.
 
Mkuu umetisha!!!!
 
"Heshimu mawazo ya mwenzako"

LAKINI

"Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
"
 
Back
Top Bottom