Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,736
- 6,637
That is why naipenda jf,hata ulikuwa na stress lazima hapa ziishe!Ni wengi, sema mchana wanakuwa binadamu!
That is why naipenda jf,hata ulikuwa na stress lazima hapa ziishe!Ni wengi, sema mchana wanakuwa binadamu!
Mtoto wangu bint wa miaka mitatu anauliza
Kuna fathercat na mothercat ila atajuaje yupi ni yupi?
Kwake yeye viumbe hawa si wengi ila anaamini ni haohao na akimuona wa rangi nyingine ina maana amebadili nguo
Anauliza,ameivuaje?
Chunguza life span yao, huenda siyo kubwa sana kama ya wanyama wengine ndiyo maana siyo wengi.Hivi ni kwanini Paka sio wengi kama Ng'ombe au Mbuzi wakati hawaliwi wala kuuawa na wanazaliana tu kila kukicha tena uzao wao ni wa mkupuo? Tazama jinsi ng'ombe wanavyochinjwa kila kukicha na uzao wao ni mmoja mmoja lakini wako wengi sana.
Wana ecology tunaomba majibu na ukiweza tupia swala ulowahi kushindwa kumjibu mtoto/mwanao
Ni wengi, sema mchana wanakuwa binadamu!
Ni wengi, sema mchana wanakuwa binadamu!
use common sense when u ask something, hivi paka anaishi miaka mingapi?na ni watu wangapi wanawapa matibabu paka?