Swali gumu hili hapa!

Swali gumu hili hapa!

Mi ushauri wangu ni kwamba huyo jamaa aichukue uamuzi wa kumuacha kwani kitendo cha huyo dada kumwambia siri nzito hivyo inamaanisha kwamba amemuanini sana...! Tena hichi ndio kipindi amabcho huyo dada anamuhitaji sana huyo mpenzi wake kwani ni mtu wa pekee aliyeweza kumshirikisha kwenye siri hii kubwa na ya pekee...!

Anachoweza kufanya ni kuwa nae zaidi na kwa ukaribu na ikibidi washirikiane ili waweze kumwambia mama yake au ikibidi wampeleke huyo baba polisi kwani hio ni INCEST na ni kinyume cha sheria...! Tena hio ni kubaka kabisa...! Huyo mzee naweza akapigwa jela maisha yote...!
Naomba tubrainstorm kidogo.
(Angalizo:Mimi si muumini wa nyumba ndogo)

Wazee wengine wanasema kuwa Nyumba ndogo au kuwa na mke zaidi ya mmoja, IS BETTER TOOL ya kupambana na AIBU kama hii ya kutembea na binti zako au dada zako?

Kwani:
1.Kutokana na MATATIZO ndani ya nyumba wakati mwingine MAMA " anakupa likizo" , wakati wewe unamtegemea yeye tu.in other words WEWE NI MWAMINIFU.

2.Sisi binadamu kunabelong kwenye ANIMAL kingdom.Wakati mwingine usipotumia tool hii vizuri ya kuwa na nyumba ndogo UNAWEZA UNAADHIRIKA kama hiyo aibu aliyopata huyo baba.

3.Kuna theory kwamba kuzini na mama,baba,dada au kaka wa kuzaliwa ni laana na mwiko hilo linajulikana.Mwiko unaisha pale tu unapoanza kwa MARA YA KWANZA aidha kwa ulevi au matizo mengine yanayofanana na hayo.THEN KAMCHEZO HAKO KABAYA KANAANZA.

4.Kuwepo nyumbani muda mwingi na kukaa bila kazi pale nyumbani ni mwanzo wa kumwangalia mama,baba,mwanao kama MWANAMKE au MWANAUME anayevutia.

Naomba tujadili hili kama watu wazima.Aliloleta mwenzetu IS A CASE WHICH NEED TO BE STUDIED.

TUNAKILA SABABU YA KUMLAANI HUYO BABA.LAKINI JE,TUNAJIFUNZA NINI?

SISI SOTE TU WASAFIRI.
 
ninamdoubt kwanza huyo kaka,kweli siri nzito hii uliyoapa kutokumwambia mtu na wewe unaenda kumwambia rafiki yako,naye akimsumulia rafiki yake kwa gia hiyo kuwa nakwambia lakini usimwambie mtu. Kwenye saikolojia kuna jambo linaitwa "weighing the power of secrecy" yaani kuna vitu utaambiwa na mtu kama siri kuu na hapo utalazimika kutumia utashi wako (na kuomba busara ya Mungu) ili kutatua na kamwe wewe muambiwaji hutakiwi kuomba ushauri kwani levels hizo za seecret zinamtemp uliyemmwambia nayeye aende kuomba ushauri ili akupe jibu, hapo sasa utasababisha chain ya secret kuongezeka, na kwa kila aambiwaye naye atawaambia at least 2 people,do a simple math and see what happens if the chain involves 8key members;
And its exactly what is happening here,je binti akiwa member wa forum? tutakuwa tumeharibuje utu wake?
Kuna vitu ndugu zangu when ur told unakuwa mwanaume haswa au mwana mama haswa unapiga kifua na kusema GOd help me discern,why? kwa kumwomba rafikiyo (hata kama unamwamini vipi) kunakuaibisha wewe kama mpezi wa huyo alietoa siri. What if rafiki akikushauri umwache ilhali unampenda ,je nafsini mwako utamwacha? na kama hukuridhia ukaendelea nae huoni huyu huyu rafiki atakucheka na kukusanifu vijiweni kuwa wewe mkeo alishaliwa sanaaa.

Ndugu muambiwa siri Naomba utafakari kwa upana na urefu nini kilimfanya dada huyu akumbie siri hii na aibu hii,Kwa mtazamo wa haraka naona amekuamini na kukuthamini kupita hata mama yake. Hicho ni kiashiria tosha kuwa yeye ni muathirika wa mazingira. Hapo kinachofuata kabla ya yote ni wewe mpenzi wake kuwa social therapist wake ili aondokane kwanza na hisia hasi na chuki na aibu zilizojengeka kwenye ufahamu wake kwa miaka yote. Kaa nae ongeeni kuwa hayo ni mambo yanayotokea na mshauri asamehe (maana at this stage hamna haja ya kwenda mahakamani,hili litamumiza zaidi, u may as well not even tell the mother) hii issue iwe kati yenu wawili tu.
ukiona zile hisia hasi zinaondoka endelea kumpa assurance kuwa wewe unamthamni bado licha ya yote.
Endeleeni na mahusiano yenu kama awali na myasahau ya nyuma hamna haja ya kuyakumbusha after 3 or 7 yrs let the bygones be bygones.
 
Hapa anahitaji kuonyesha Mapenzi ya dhati na kumsaidia huyo binti kisaikolojia maana tayari ameathirika kisaikolojia, pili ahakikishe huyo mzee mshenzi wa tabia ******** afikishwa ktk vyombo vya sheria ili iwe fundisho,
 
nadhani hili ni mojawapo ya yale mambo yanayosababisha madhara makubwa sana kisaikolojia, na effect zake zinaweza kuingia hadi kwenye future family ya huyu binti,

wawaone wataalamu wa kisaikolojia au viongozi wa dini waliobobea katika maswala ya counselling na kutafuta ufumbuzi wa kitaalamu,

Huyo rafiki yako yupo serious kwelli na huyo binti? maana kasikia tu hayo anakuja kuuliza kama amuache au la...rafiki wa kweli hakimbii anapogudhua matatizo uliyonayo hasa ambayo si ya kujitakia kama hayo
 
Dah...

Jamaa achukue uamuzi tu... vipimo vya upendo ni vingi, ila kusema kumuacha kwa ajili ya kitu kama hicho, na binti amemfunulia moyo wake kwa kiasi hicho aangalie...

Ila asijidanganye kujaribu kuendelea kukaa na binti huyo ati kisa anamuonea huruma... kama anataka kubaki iwe ni kwa sababu kamuelewa kama alivyo na kampenda kama alivyo, na dhoruba na mapungufu yote ambayo binti kakumbana nayo na anayo.
Du! Jamaa nilimshauri kwanza atulie ili akili yake irudi kwanza maana inaoneka alikuwa anaamini kuwa binti ni bikra nae alihitaji sana kuoa bikra. Ni binti mstaarabu sana ambaye huwezi kudhania amefanyiwa kitendo kama hicho.[\QUOTE]

Na je jamaa alikuwa na mapenzi makali na binti kwa kuwa alikuwa anatumaini kwamba binti ni Bikra na si vinginevyo? Kama ndio basi anatafuta kupigwa!!!

She needs him...asije sababisha mengine.
 
Ampeleke kwa daktari wa akili ili wapatiwe ushauri nasaha na vile vile kupima kama ameathirika kisaikolojia na kupata matibabu ikiwa ameathirika. Hat kama hajaathirika consultation hapa ni muhimu sana kwani vitendo alivyofanyiwa ni kinyume na dini, sheria nk. hivyo effect hujimanifest along their relationship na inaweza kumpatia shida sana huyu jamma yako. Kama maisha ni mafupi ni bora kuishi vizuri na sio kusema potelea mbali.

Pili huyu binti amshitaki baba yake mapema kabla hajafa kwani atajajuta sana atapokuwa na watoto. Kisaikolojia hii ni after math ya aliyofanyiwa, inaweza isionekane sasa kwani bado ni msichana mdogo. Afanye hivyo kwani kutokushitaki kosa ni kosa. Atakuwa naye amechangia kosa hilo kwa kutoku-report polisi. Baba gani amlale bint yake wakati demu wake yuko? Kama ni kitu kina-run through the family inawezekana binti atayezaliwa akam-seduce jamaa yako naye akaendeleza libeneke. Ama huyu dada atalipiza kwa mtoto wake wa kiume. Ukizoea kula au kulishwa nyama ya mtu utakula tu hadi kiama.

Watch out and think inside and outside the box critically, relationship creation is random but play the minimum risk
 
Anahofia jinamizi gani litakalomfata yeye? watu wanoa watu walioachika au hata waliofiwa hawafatwi na majinamizi itakuwa yeye ambaye anaelewa kabisa kwamba huyo binti alikuwa abused for all those years? wanaume wengine sometimes siwaelewi, huyo huyo atakutana na mwingine keshamegwa hadi kachoka na atamdangaya yeye ni ni wa pili tu ataamini.

The girl is innocent, kajaribu kutoa kitu kinachomuumiza kabisa kwake akijua anamuamini, pls mshauri mwenzio asimtose huyo msichana, italeta madhara makubwa coz ataweza kuwachukia men for life au hata kujidhuru kwa kuona hathaminiki tena.
Kitu cha msingi huyo jamaa awe nguzo ya kumuongoza huyo dada hadi wamwambie mama mtu na pia waweke mtego ili huyo baba akamatwe ikiwa anamfanyia pia mdogo wake kama alivyosema anasuspect ili ushahidi wa kumshtaki uwepo, wasipotibu haya maradhi mzee ataharibu watoto wake wote na kama kuna wa kiume pia unaweza kuta anamlamba pia, it has to stop, wakiendelea kuficha siri watavuna mabua.
Na huyo jamaa anayejifanya lengo lake ni kuoa bikra na ndicho kigezo anachotumia kutaka kumtosa huyo binti, je yeye ni bikra pia? au ye keshaharibu sana sasa anataka pure.
thanks

Kitu cha kwanza wamuokoe huyo mdogo mtu kwenye mateso na kama anampenda kweli wamuone mtaalam psychiatrist atawasaidiwa wote pamoja na huyo jamaa yako.Alafu enzi hii anatafuta BIKRA! watu hua wanatengeneza hio anitumie pm nitamuelekeza, ebo!
 
Mambo vipi wana mahusiano?

Kuna swali moja gumu kweli nimekutana nalo. Jama ana mpenzi ambaye amebakwa na baba yake kwa miaka miatano mfululizo! Demu alikuwa hajarevil kwa jamaa kwa muda mrefu ila alikuwa ana kama jinamizi hivi kila akikumbuka, jamaa kambembeleza amwambie shida yake demu akamwambia: "Nikikuambia bado utanipenda?" Jamaa akajibu kama kawa kwamba mimi na wewe hakuna wa kututenganisha! DEMU AKAMAWBIA NIAPIE! Jamaa kaapa kwa lugha na kwa miungu yote anyoijua. Ndipo demu kamfunulia! " Tangu nikiwa na umri wa miaka 14 baba alikuwa akinibaka, alinitisha kwamba siku nikimwambia mama tu ataniuwa. Ni mpaka nilipofikisha umri wa miaka 19 yaani mwaka jana na nadhani amehamia kwa mdogo wangu ingawa sina uhakika"

Any way, it is a long story, jamaa kaja kuniomba ushauri....Vipi amwache wakati keshaapa?


Huyu dada amempenda huyo jamaa na amemuamini ndio maana kamaamua kumtobolea siri nzito ambayo aliificha moyoni mwake pengine hata mama yake mzazi hajamwambia sasa jamaa anapofikiria kumuacha inamaana hapendi kuambiwa ukweli au huyo shoga yako kazoea kudanganywa ee? na akumbuke huyo dada hajaomba kubakwa.

Maana wengine wanapenda kuambiwa uongo ndio wanaamini wakiambiwa ukweli hawataki wanajaribu kuugeuza uwe uongo.
 
Kilichomfanya huyu binti amuambie jamaa ni nini? wameoana? kunavitu vya kusema na kukaa kimya
 
Huyu binti amamwambia jamaa hiyo siri kwasababu amempenda sana. Kwahiyo.... ushauri wangu kwake huyu brother ni kwamba...aendelee kumwonyesha binti huyu upendo na kujaribu kumsaidia katika "nightmares" anazopata. Inaelekea hizo "nightmares" anapata kwasababu ya woga aliokuwanao wakati huyo baba (pedophyle) alipokuwa anambaka.
Pia ningemshauri brother huyo ajaribu kumsaidia huyu binti amwokoe mdogo wake.......na ahakikishe baba (pedophyle) huyu achukuliwe hatua.
 
Masikini.... Pole dada yangu
Shemeji huu si wakati wa kufikiria kumwacha dada bali ndio wakati wa kuwa naye karibu zaidi. Kama ameweza kukwambia siri kubwa namna hii ni wazi kuwa huyo si mtu mwenye mambo maovu afichaye kwani hakuwa anapenda kukuficha wewe mpenzi wko no matter how much aibu but yeye amekuamini sana. Tena pliz hakikisha hajui kama ulikuja kwa mshkaji kutaka ushauri: Itamuuma sana.

If you get time watch Why did I get Married........ you will know how much it hurts if your secret is disclosed!
 
ANATAKA BIKIRA YEYE BIKIRA?
kimsingi umuhimu wa ubikira ni uhakikisho wa kuhijeshimu na kujitunza, mengine ni mameno tu ya mtaani.
kuliko abaki nae kwa huruma bora muache.
Hayuko psychologically fit, bora ulivyomwambia asubiri atulie, huku tulioko manungaembe tu.
bora huyo mara elfu.
Halafu mwambia katika mwenzi wa maisha ubikira wa kufungiwa ndani ya geti haina maana, manake wakiolewa tu wanaanza kutembea na madereva na houseboy.
heshima ya mtu anayo rohoni mwake ndio sababu nikakuambia hapo juu, aangalie strength of character ya huyo dada. Ni mstahimilivu.

Kuna msichana mmoja mtaa wa pili kutoka kwetu ambaye alikua na marafiki wa kiume wengi tu akaja kupendwa na muarabu kutoka Kuwait akasema yuko tayari kumuoa kama ni bikra.Msichana akasema yeye ni bikra lakini anahitaji kwenda moshi kwa wiki 2 halafu wataoana.Wakina mama wanasema alienda kwa doctor akatengenezewa na mashuka yakachafuka kwa damu siku ya harusi.Sasa hiyo ndio BIKRA kakangu.
 
Naomba tubrainstorm kidogo.
(Angalizo:Mimi si muumini wa nyumba ndogo)

Wazee wengine wanasema kuwa Nyumba ndogo au kuwa na mke zaidi ya mmoja, IS BETTER TOOL ya kupambana na AIBU kama hii ya kutembea na binti zako au dada zako?

Bonnie umenikumbusha mbali sana- wakati niko chuo kuna theory tuliambiwa kuwa inasema umuhimu wa nyumba ndogo na vyangudoa katika kumaintain society- Kama nakumbuka ilikuwa inaitwa Dtructural Functionalism Theory. Inawezekana kuna ukweli hapa.
Kwani:
1.Kutokana na MATATIZO ndani ya nyumba wakati mwingine MAMA " anakupa likizo" , wakati wewe unamtegemea yeye tu.in other words WEWE NI MWAMINIFU.
ila kuna wengine tabia kama hii ni hulka na haichangiwi na upewaji wa likizo- Kuna wale ambao hupewa kama dozi kutwa mara tatu but still they go out to look for other tastes...... Inawezekana na huyu naye ni mmoja wapo - haiwezekani kwa miaka mitano yote hiyo network na mkewe ziwe chenga tu
2.Sisi binadamu kunabelong kwenye ANIMAL kingdom.Wakati mwingine usipotumia tool hii vizuri ya kuwa na nyumba ndogo UNAWEZA UNAADHIRIKA kama hiyo aibu aliyopata huyo baba.

3.Kuna theory kwamba kuzini na mama,baba,dada au kaka wa kuzaliwa ni laana na mwiko hilo linajulikana.Mwiko unaisha pale tu unapoanza kwa MARA YA KWANZA aidha kwa ulevi au matizo mengine yanayofanana na hayo.THEN KAMCHEZO HAKO KABAYA KANAANZA.

4.Kuwepo nyumbani muda mwingi na kukaa bila kazi pale nyumbani ni mwanzo wa kumwangalia mama,baba,mwanao kama MWANAMKE au MWANAUME anayevutia.

Naomba tujadili hili kama watu wazima.Aliloleta mwenzetu IS A CASE WHICH NEED TO BE STUDIED.

TUNAKILA SABABU YA KUMLAANI HUYO BABA.LAKINI JE,TUNAJIFUNZA NINI?

SISI SOTE TU WASAFIRI.


Huyu baba atakuwa alizidi bwana. ingawa nasikia siku hizi is the game of the day kwani imekuwa kawaida kusikia mume katembea na shemeji yake wakati zamanio shemeji yako akija kuishi kwako ni sawa na mwanao.
 
DINGI AWEKEWE MTEGO NA ASHITAKIWE KWA KUBAKA

Mwambie jamaa asimwache huyo demu kama atakubaliana na masharti yafuatayo:
Akubali kumwekea huyo dingi mtego wamnase akifanya/ akiwa amefanya mapenzi na mdogo wake, halafu ashitakiwe kwa kosa la ubakaji. Akikataa ajue huyo dingi ataendelea kumla huyo demu miaka yote ya maisha yake. Kila demu akienda kusalimu kwao dingi atakuwa anatuliza mizuka yake kama kawaida. Inabidi aende jela miaka thelathini, hata akishinda tayari kutakuwa na uadui kati ya dingi na binti yake kiasi kana kwamba hawatakula tunda tena.
Kwanza huyo dingi ni muuaji na yeye anastahili kifo, huwezi kumfanyia hivyo binti yako!!! Akitaka aniajiri mimi nimtokomeze huyo dingi kutoka katika sura ya dunia hii, HASTAHILI KUISHI!!!! Si mnaona confusion aliyotengeneza bwana, mpaka watu tunaanza kuchelewa class ili tutafute suluhu jamiifurums?
Niko tayari kushiriki.
Byeeeeeeeeeeee guys!
 
Last edited:
Huyu baba atakuwa alizidi bwana. ingawa nasikia siku hizi is the game of the day kwani imekuwa kawaida kusikia mume katembea na shemeji yake wakati zamanio shemeji yako akija kuishi kwako ni sawa na mwanao.
Mkuu heshima mbele,
Naomba hiyo Theory ya STRUCTURAL FUNCTIONALISM.
 
hakuna ubakwaji wa miaka mitano muda wa ubakaji ni siku kadhaa baada ya hapo wote wanafurahia tendo hilo. wengi hasa sisi waafrika tunaanzana mapenzi kwa kubakana baadaye inakuwa mazoea kila mmoja anammisi mwenzake
Halafu wewe hujatulia,
Kauli yako inahitaji tafakari ya kina mkuu.
MUNGU APISHE MBALI...
 
Yaan wanaume nyie hamna maana kabisa

Baba zima linamuingilia mwanae ata bila aibu lol

Mungu anusuru vizaz vyetu
 
Du! Jamaa nilimshauri kwanza atulie ili akili yake irudi kwanza maana inaoneka alikuwa anaamini kuwa binti ni bikra nae alihitaji sana kuoa bikra. Ni binti mstaarabu sana ambaye huwezi kudhania amefanyiwa kitendo kama hicho.Sababu hasa inayo mfanya afikiri kumwacha ni yeye kuhofia kukutwa na jinamizi pia! Anaona huruma lakini anahofia jinamizi. Anahisi itafika wakati babu atakuwa haamki!!!!
Jinamizi ndio nini??sijaelewa, lakini Pia huyo jamaa yako anataka kuoa bikra nayeye hajawahi kucheza huo mchezo au anajishebedua tu?
 
Back
Top Bottom